Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

Sasa Saa Nne Usiku: Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

Vifaranga200

Senior Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
163
Reaction score
177
Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali

Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi.


Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa watumishi wanajiongelea hovyo hovyo tu.

Nhif na kwingineko, kwamba Kuna uozo mkubwa
 
Em tulia bana, hujaona Samia yupo China amepokelewa kama Mfalme?
 
Kuna chawa watakuja kutetea, uzuri haya mambo huwa watu wanajikoki wenyewe, kuna sku kila mmoja atakuwa aware, mpak sasa nusu ya watu walioshangilia awamu hii kuingia madarakani, ndio waliokata tamaa na hawana hamu
 
Yaani Hilo Jambo ndio unataka raisi aingilie. Hivi hujui kuna mambo inabidi raia wayamalize wenyewe Kwa kuwazingua hao watumishi wapuuzi.

Mimi mtumishi wa Umma akinizingua panachimbika. Hivi mnashindwa vipi nyie mataahira! Raisi aje kurekebisha namna ya wewe kuhudumiwa kweli tena ukute ni Baba Zima na mindevu linashindwa kujifanya kichaa ili huduma upewe!!!

Unadhani raia wakiwa Aggressive kuna mtumishi atakuwa anafanya ujinga !!!
 
NHIF wameniudhi Sana.

Hizi ni ofisi nyingi za umma. Customer care ni 000%

Mama yetu huku chini watu ama wamekata tamaa au wamegoma.

Unakuta MTU anakuangalia tu. Ilikuwa hivi niliingia ofsi ya nhif mjini. Mzee mmoja akaita.

Mzee.." ambaye hajahudumiwa?.."

Mimi.. nikajisogeza.."..ninashida..1 , 2 na 3.."

Mzee.."..hii haiwezekani..."

Kwakuwa najua abc za ishu yenyewe nikarudi kukaa kitako..

Mimi nikaketi 3 hrs bila yule dingi kujali Chochote.

Mama mmoja.."..akawa anazurura tu...


Nikamsogelea yapata saa 11 Jioni. Na Muda wa kazi umeisha.
Naona wewe ungekuwa katika hizo ofisi, kusingekuwepo na tofauti yoyote na huduma zinazotolewa hapo leo!

Kama kujieleza kwenyewe ndiko huku, hao ambao ungewahudumia sijui wangeelewa kitu gani?

Ndiyo, ni wabovu, lakini inaonyesha ingekuwa wewe pale pasingekuwepo na nafuu yoyote.

Lakini inanilazimu nitoe pole zangu kwako kwa uliyoyaona huko.
 
Wewe mwenyewe unaandika kama bata hata hueleweki unachokiandika, labda walikiona upeo wako ni zero-kwa uandishi huu unasitahili ilichokipata.

By the way, kila mmoja ana boss ukiona huridhiki na huduma mtafute boss husika umweleze-sio kulia lia kwa vitu vidogo.
 
Naona wewe ungekuwa katika hizo ofisi, kusingekuwepo na tofauti yoyote na huduma zinazotolewa hapo leo!

Kama kujieleza kwenyewe ndiko huku, hao ambao ungewahudumia sijui wangeelewa kitu gani?

Ndiyo, ni wabovu, lakini inaonyesha ingekuwa wewe pale pasingekuwepo na nafuu yoyote.

Lakini inanilazimu nitoe pole zangu kwako kwa uliyoyaona huko.
😆😆😆
 
Tulia uandike vizuri ueleweke sasa hata kama kuna tatizo utasaidiwaje mtu mwenyewe kujielez vizuri huwezi?
 
Back
Top Bottom