Vifaranga200
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 163
- 177
Nisemeje sasaEm tulia bana, hujaona Samia yupo China amepokelewa kama Mfalme?
Naona wewe ungekuwa katika hizo ofisi, kusingekuwepo na tofauti yoyote na huduma zinazotolewa hapo leo!NHIF wameniudhi Sana.
Hizi ni ofisi nyingi za umma. Customer care ni 000%
Mama yetu huku chini watu ama wamekata tamaa au wamegoma.
Unakuta MTU anakuangalia tu. Ilikuwa hivi niliingia ofsi ya nhif mjini. Mzee mmoja akaita.
Mzee.." ambaye hajahudumiwa?.."
Mimi.. nikajisogeza.."..ninashida..1 , 2 na 3.."
Mzee.."..hii haiwezekani..."
Kwakuwa najua abc za ishu yenyewe nikarudi kukaa kitako..
Mimi nikaketi 3 hrs bila yule dingi kujali Chochote.
Mama mmoja.."..akawa anazurura tu...
Nikamsogelea yapata saa 11 Jioni. Na Muda wa kazi umeisha.
πππNaona wewe ungekuwa katika hizo ofisi, kusingekuwepo na tofauti yoyote na huduma zinazotolewa hapo leo!
Kama kujieleza kwenyewe ndiko huku, hao ambao ungewahudumia sijui wangeelewa kitu gani?
Ndiyo, ni wabovu, lakini inaonyesha ingekuwa wewe pale pasingekuwepo na nafuu yoyote.
Lakini inanilazimu nitoe pole zangu kwako kwa uliyoyaona huko.