The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Msimu uliopita, simba ilimwacha bingwa wa sasa yanga kwa alana 5,wakazipunguza hadi kubaki 2 kisha wakaongeza hadi kufikia alana 7 kama sijakosea. Bahati mbaya nyingine zilipunguzwa hadi kufikia 1 kisha simba ikaongeza tena hadi 5 zaidi ila zilipunguzwa hadi kufikia simba ikawa yenyewe ndo inadaiwa tena.
Hili tatizo in kwa misimu miwili sasa, ila tofauti ni kuwa msimu uliopita simba ilikuwa na kikosi cha wachezaji bora zaidi lakini simba ilishindwa hadi kufikia kung'ang'ania point za mezani hadi FIFA.
Tunaona haya yanaweza kujirudia kwa kikosi kilichosheheni wachezaji wazuri.
Ninachokiona ni kuwa kocha mkuu amezidiwa mbinu na hana uwezo zaidi wa kuipeleka simba katika mafanikio ya juu. Ni kocha ambaye kwa mbinu na maarifa anaweza kuzidiwa na kocha msaidizi ndg Mayanja. Apewe mechi chache sana za kujiridhisha ubora wake kwa idadi ya magoli kwa kila mchezo.
Mchezo wa leo sijajua kwanini hajamjaribu mghana. Mchezo wa kirafiki unafanya sub dk za mwisho kabisa, sijui alitaka kuona nini. Naona hafai kama sio yeye basi viongozi ndo hawafai kabisa.
Sent using jamii forums mobile app