Sasa tatizo litakuwa kwa Omog

Sasa tatizo litakuwa kwa Omog

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,786
Msimu uliopita, simba ilimwacha bingwa wa sasa yanga kwa alana 5,wakazipunguza hadi kubaki 2 kisha wakaongeza hadi kufikia alana 7 kama sijakosea. Bahati mbaya nyingine zilipunguzwa hadi kufikia 1 kisha simba ikaongeza tena hadi 5 zaidi ila zilipunguzwa hadi kufikia simba ikawa yenyewe ndo inadaiwa tena.

Hili tatizo in kwa misimu miwili sasa, ila tofauti ni kuwa msimu uliopita simba ilikuwa na kikosi cha wachezaji bora zaidi lakini simba ilishindwa hadi kufikia kung'ang'ania point za mezani hadi FIFA.

Tunaona haya yanaweza kujirudia kwa kikosi kilichosheheni wachezaji wazuri.

Ninachokiona ni kuwa kocha mkuu amezidiwa mbinu na hana uwezo zaidi wa kuipeleka simba katika mafanikio ya juu. Ni kocha ambaye kwa mbinu na maarifa anaweza kuzidiwa na kocha msaidizi ndg Mayanja. Apewe mechi chache sana za kujiridhisha ubora wake kwa idadi ya magoli kwa kila mchezo.

Mchezo wa leo sijajua kwanini hajamjaribu mghana. Mchezo wa kirafiki unafanya sub dk za mwisho kabisa, sijui alitaka kuona nini. Naona hafai kama sio yeye basi viongozi ndo hawafai kabisa.

Sent using jamii forums mobile app
 
ni kweli kocha ana matatizo mechi za kirafiki hataki kujaribu wachezaji, anafanya sub dakika zimebaki NNE matokeo ataua viwango vya wachezaji au atafanya wachezaji wazuri watukimbie kwa kukaa bebchi tulipoteza mechi kwa kupenda kumpanga Lufunga wakati uwezo ulikuwa mdogo hadi Julko akagoma kurudi
 
Ni kweli kabisa,nilikuwa namshangaa kutomchezesha Juuko wakati uwezo wake ulikuwa so wakutiliwa mashaka.

Washambuliaji wore wanatafuta Moira,ikitokea wamefanya shambulio LA ghafla hakuna MTU mbele au cross ikipigwa hakuna MTU katikati Wa kuupata Mpira vyema.

Sidhani kama Simba itatoka kwenye goli moja kila mchezo kwa kocha huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kulalamika, hizi ni mechi za majaribio
 
Wacha kulalamika, hizi ni mechi za majaribio
Kwahiyo hats michezo ya msimu uliopita Nazi zilikuwa za majaribio?au hujaona nilichomaabisha? Tatizo LA msimu uliopita ndilo linalotikea hats sasa.Ushindi kiduchu Na kocha mkuu litakuwa linamhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muunganiko wa kichuya,Boko na Okwi hauko poa hata. Mechi ya jana unakuta wote wanawania mpira. Huyu Omogi huyu!
 
Wacha kulalamika, hizi ni mechi za majaribio
Mie nadhani hili jukwaa ni la watu wa mpira, mnazungumzia mpira na technicalities zake, sio maneno ya jumla jumla kama wanasiasa.
Unaposema ni mechi ya majaribio, so what? Sasa kama ni mechi ya majaribio kwanini uache wachezaji kibao nje tena wenye vipaji wakati unaona kabisa timu inaonekana kutokufanya vizuri.

Ukweli ni kwamba Omog timu hii itamshinda au ataishia kuua vipaji vya wachezaji wazuri ambao wamesajiliwa kwa pesa nyingi sana. Omog hafundishi mpira kwa style ya uchezaji wa Simba, anapenda defensive play sana na sio kufunguka na kushambulia.

Unapokuwa na strong defensive line kama ya Simba ya sasa (kwa mfano), huhitaji kumuweka number 6 James Kotei ambaye ni more defensive midfielder , badala yake unatakiwa uwe na mtu kama Mkude ambaye anaweza kupeleka timu mbele na kuifanya ifunguke zaidi.

Naona atafrustrate wachezaji wengi sana Simba mwaka huu kwa kupenda kuwa rigid, unafanyaje sub chache kwenye mechi ya kirafiki ilhali kuna mastaa wanakula benchi, its not healthy kwa wachezaji tena wenye viwango vile, lets be honest.
 
uko sahihi ,....nakusoma..Over
 
Hata mimi nina mashaka na kocha wa Simba sc.

Bora hata huyo msaidizi wake Mayanja ana mbinu nzuri za kufundisha.

Pale mbele sina mashaka na Boko, Okwi.

Hapo wanaobaki kama Mo, kichuya, na Mavugo, inabidi wajaribiwe vizuri ili kupata kikosi bora cha ushambuliaji

Ni mzito sana wa kufanya Sub na kuwaelekeza namna ya kumalizia mipira ya mwisho.
Wanabaki wanagongana wenyewe badala ya kufunga

Simba sasa inacheza mpira wa show tu na hamna cha maana.
Wachezaji mwaka huu tunao wanaojua kumiliki mipira, Kocha inabidi ajikite kwenye swala la kufunga magoli tu.

Kama hawezi ni bora aondoke tu. Mwaka huu hana kisingizio kabisa.
Ni ushindi au ajitathmini
 
Mie nadhani hili jukwaa ni la watu wa mpira, mnazungumzia mpira na technicalities zake, sio maneno ya jumla jumla kama wanasiasa.
Unaposema ni mechi ya majaribio, so what? Sasa kama ni mechi ya majaribio kwanini uache wachezaji kibao nje tena wenye vipaji wakati unaona kabisa timu inaonekana kutokufanya vizuri.

Ukweli ni kwamba Omog timu hii itamshinda au ataishia kuua vipaji vya wachezaji wazuri ambao wamesajiliwa kwa pesa nyingi sana. Omog hafundishi mpira kwa style ya uchezaji wa Simba, anapenda defensive play sana na sio kufunguka na kushambulia.

Unapokuwa na strong defensive line kama ya Simba ya sasa (kwa mfano), huhitaji kumuweka number 6 James Kotei ambaye ni more defensive midfielder , badala yake unatakiwa uwe na mtu kama Mkude ambaye anaweza kupeleka timu mbele na kuifanya ifunguke zaidi.

Naona atafrustrate wachezaji wengi sana Simba mwaka huu kwa kupenda kuwa rigid, unafanyaje sub chache kwenye mechi ya kirafiki ilhali kuna mastaa wanakula benchi, its not healthy kwa wachezaji tena wenye viwango vile, lets be honest.
Umeelezea vizuri Sana mkuu.Nafikiri viongozi wasimsubirie Sana huyu MTU iwapo ushindi wake ni ule ule kiduchu.Na Kama Simba itashiriki kimataifa basis ndo hakutakuwa Na lolote LA maana japo kikosi no kizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu uliopita,Sumba ilimwacha Bingwa Wa sasa Yanga kwa Alana 5,wakazipunguza had I kubaki 2 kisha wakaongeza hadi kufikia Alana 7 Kama sijakosea.Bahati mbaya nyingine zilipunguzwa had I kufikia 1 kisha Simba ikaongeza tens had I 5 zaidi ila zilipunguzwa had I kufikia Simba ikawa yenyewe ndo inadaiwa tens.

Hili tatizo in kwa misimu miwili sasa,ila tofauti Ni kuwa msimu uliopita Simba ilikuwa Na kikosi cha wachezaji bora zaidi lakini Simba ilishindwa had I kufikia kung'ang'ania point za mezani hadi FIFA.

Tunaona haya yanaweza kujirudia kwa kikosi kilichosheheni wachezaji wazuri.

Ninachokiona no kuwa kocha mkuu amezidiwa mbinu Na Hana uwezo zaidi Wa kuipeleka Simba katika mafanikio ya juu.In kocha ambaye kwa mbinu Na maarifa anaweza kuzidiwa Na kocha msaidizi ndg Mayanja. Apewe mechi chache Sana za kujiridhisha ubora wake kwa idadi ya magoli kwa kila mchezo.

Mchezo Wa Leo sijajua kwanini hajamjaribu Mghana.Mchezo Wa kirafiki unafanya Sub dk za mwisho kabisa,sijui alitaka kuona nini.Naona hafai kama sio yeye basis VIONGOZI ndo hawafai kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona washabiki na wapenzi wa FIFA FC mnaanza kuogopa mapema..ngoja tuone.
 
Pamoja Na ubovu Wa kocha Wa Simba,ila matopeni fc hamuifungi Simba.Kocha wenu ndo Yale Yale tu sawa Na Omog

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa nani wa matopeni? Ni Simba au Yanga..nachoweza kukubalina na wewe ni kuwa hata Lwandamina sio kocha wa kuiweza Yanga, ila Omog ni mbovu zaidi.
 
Back
Top Bottom