Sasa tumepata majibu baada ya Urusi kupeleka nyambizi Cuba

Kipondo huku kamegwa,,,irudisheni hio ukraine
Usjar mzee ardhi yote itarudi kama ivyokuwa

Kyiv 😇

Khakivu 😇

Kheson 😇

Mykolaiv 😇

Kupyansk😇

Snake island 😇

Lyman 😇

Black sea route 😇

Odessa 😇

Izium 😇..,niendelee au🤣
 
Anahenya huku keshamega nchi,,,,rudisheni Ukraine kama ilivyokua wakina supapawa mabula
Usjar mzee ardhi yote itarudi kama ivyokuwa

Kyiv 😇

Khakivu 😇

Kheson 😇

Mykolaiv 😇

Kupyansk😇

Snake island 😇

Lyman 😇

Black sea route 😇

Odessa 😇

Izium 😇..,niendelee au🤣
 
Kapigana na taifa gani la maana toka awe superpower zaidi ya kuwaonea kobazi
Akikuambia acha vta usposikia atafanya kama ile ya heroshima na ajasaki Dunia kwanzia hiumbwe ujawai suhudia bomu kama lile alaf jamaa akasema icho ni kichagaa cha atomic bomb sasa waguse pale White House alaf tu ussr walikuwa pia wao wana super power ilikuwa WASO lakn walipoteana unajua kwann WASO ilkufa lakn mpaka sasa NATO ipo au unatuleta story ambayo uji kwann marekan Ana power military base?
 
Waulize wafaransa kuhusu Napoleon na wapi aliingia cha kike......kwa historia mbona hata Mongolia ilikua superpower enzi zake sahivi mcheki yupo wapi.....hii dunia haijaanza 1945 maana nyie walevi wa Nato ndo dunia yenu imeanzia hapo kabla ya hapo ni weupe
 
Hivi ninyi vijana wa 2000 mnaosema Russia anapambana na NATO mna akili sawasawa kweli?

Nguvu za kijeshi za NATO kuna taifa linaweza kusimama dhidi yake? Hivyo vimisaada wanavyopewa Ukraine ni kama 20% ya uwezo wa NATO.

Wadogo zangu, embu wekezi akili zenu zaidi ktk kuongeza uchumi wenu kuliko kumkweza Putin kila wakati kwa kuanzisha thread za ajabu ajabu huku JF.
Ingawa siyo kijana wa 2000 lakini Nina maoni huru.
Umesema wewe ni Mzee. Sifa ya wazee ni kuwa na historia. Historia ya vita ya kwanza na ya pili, cold war politics, NATO, WARSAW PACT, African Nationalism na vingi vibgeweza kukupa sifa thabiti ya Urusi.
 
Waulize wafaransa kuhusu Napoleon na wapi aliingia cha kike......kwa historia mbona hata Mongolia ilikua superpower enzi zake sahivi mcheki yupo wapi.....hii dunia haijaanza 1945 maana nyie walevi wa Nato ndo dunia yenu imeanzia hapo kabla ya hapo ni weupe
Uko kwingne n vta vya kiukoo na ubabe wakupanua mipaka lakn vta vya wanaume ilianza miaka ya 1914-18 na end 1939-45 tu ndyo inatambulika izo sjui kna mogolia just story kama za chfe mkwawa na knakinjekitile gware
 
Ku

Kubali kataa marekani ndiye kilanja wa Dunia kwa Sasa mpaka pale " nature" itakapoamua vinginevyo,ukijaribu kushindana nae utahenya kama urusi anavyohenya sasa
Ni kweli kwa sasa hakuna namna Rusia anaweza kuiangusha USA kwa njia ya vita wala uchumi. Baada ya muda uchumi wa Russia utadolola, vizazi vijavyo ndoa vitaumia.
 
Baada ya kusoma tu hili gazeti uchwara nikaona sehemu pekee kulipeleka ni msalani
Wewe akili Yako yote inawaza msalani na kujifuta huko nyuma na toilet paper TU, kwa hiyo Kila Ukiona karatasi yoyote au gazeti unaweza toilet paper na msalani TU.
Ndio maana nyinyi hamumpendi Putin,maana hatoi ruhusa kabisa ya ujinga wenu.
Umeharibika jirekebishe kijana.
 
Jibu swali je ni haki USA kuweka makombora puani mwa MOSCOW ila ni haramu RUSSIA kuweka makombora puani mwa MIAMI?
Hivi ninyi vijana wa 2000 mnaosema Russia anapambana na NATO mna akili sawasawa kweli?

Nguvu za kijeshi za NATO kuna taifa linaweza kusimama dhidi yake? Hivyo vimisaada wanavyopewa Ukraine ni kama 20% ya uwezo wa NATO.

Wadogo zangu, embu wekezi akili zenu zaidi ktk kuongeza uchumi wenu kuliko kumkweza Putin kila wakati kwa kuanzisha thread za ajabu ajabu huku JF.
 
Jibu swali je ni haki USA kuweka makombora puani mwa MOSCOW ila ni haramu RUSSIA kuweka makombora puani mwa MIAMI

Back
Top Bottom