Sasa tumepata majibu baada ya Urusi kupeleka nyambizi Cuba

Mimi naamini kua Kwa Sasa Urusi Iko vitani na NATO.

Nae USA ni Mkuu wa NATO.

Lkn wapo pro NATO wanakuambia hapana Urusi Iko vitani na Ukraine peke yake,NATO haimo,wanaenda mbele Wana sema nchi ndogo TU ya Ukraine Urusi imechukua miaka miwili kuishinda je hii Urusi ndio ya kupigana na NATO?.

Haya tuache hapa kwanza .
Wapo Pro USA,NATO na west humu,sijui hua wanafikiri kwa kutumia viungo Gani zaidi ya ubongo.

Wengi au wote kwa pamoja Kila siku wamekua wakisema kua Urusi hakua na haki ya kuivamia Ukraine Kwa sababu inataka kujiunga na NATO,wanasema Urusi Haina haki kwa sababu suala la kujiunga na NATO ni halali ya Ukraine Kwa kua Ukraine ni taifa huru na Lina maamuzi yake,na uhuru wake wa kujichagulia rafiki au kujichagulia upande wa kushirikiana nayo.

Hawa watu tuliwaelewesha sana kua Ukraine anakosea kumkaribisha adui namba moja wa Urusi hapa duniani ambae ni USA kwa sababu za usalama wa Urusi,lkn watu humu walikataa kuiona sababu hiyo.

Sasa wala hatujafika mbali Leo hii majibu tumeanza kuyapata live kabisa wala bila chenga mara baada ya Urusi kupeleka melivita na NYAMBIZI huko Cuba.

Majibu yenyewe ni kwamba mara TU baada ya Urusi kufikisha hizo silaha zake Kali kabisa huko Havana Cuba,nchi ya Marekani ilipaniki vibaya sana na kuanza kutoa kauli zinazopingana.

Lakini kubwa na baya kuliko yote ni kua nayo Marekani ilipeleka silaha za aina mbalimbali katika eneo hilo la maji kati ya Cuba na mji wa pwani wa Marekani wa Miami.

Marekani imepeleka makumi ya helkopta,ndegevita,ndege za upelelezi,melivita,NYAMBIZI na boti maalumu za kutafuta NYAMBIZI,pamoja na silaha nyingi nyinginezo ambazo Mimi bado sijapata kuzifahamu.

Sasa hapa ndio kwenye majibu ya ubishi wetu wa mda mrefu humu kati ya sisi Pro haki na wenzetu Pro USA NATO na west.

Majibu yenyewe ni kwamba:

kama Ukraine ni nchi huru na Ina haki ya kujichagulia marafiki na ina haki ya kujiunga na NATO je Cuba sio nchi huru kukaribisha rafiki yake wa jadi Urusi kupeleka meli na NYAMBIZI zake Havana kwa ajili ya kufanya mazoezi?

Si tuna amini kua Urusi haiko vitani na Marekani,je ni Kwa Nini na kwa sababu Gani Marekani imepeleka silaha zake pwani ya Miami eneo jirani kabisa na Cuba mara baada TU ya Urusi kupeleka meli zake Cuba?
Kwa Nini ifanye hivyo wakati hakuna ugomvi baina Yao?

Je Marekani inapopelekaga meli zake black sea mbona Urusi hua Haina hofu na vurugu kama ambazo Marekani imezionesha mara baada ya Urusi kutia nanga Cuba?

Kwa kifupi Marekani imeingiwa na hofu kubwa ,je hofu hiyo yanini?

Maana alivyofanya Urusi ndivyo Marekani hufanya katika maeneo jirani na Urusi.

Kwa msiofatilia tukio hilo ni kwamba marekani imelalamika sana,wameongea Kila maneno na mengine kupigana,lkn neno moja kubwa ambalo Mimi nimelikumbuka ni kusema hii ni "Provocation" na kuiomba Urusi iondoe meli zake.

Urusi wala hawakua na hofu Bali walisema toka mwanzo kua meli hizo zitakaa siku 6 TU na zitaelekea Venezuela.

Hofu iliyopo huko Washington ni kwamba huenda meli hizo zimeshusha mzigo wa Nyukilia hapa Cuba na mzigo mwingine utapelekwa Venezuela.
Hofu imetawala sana huko Marekani.

Majibu mengine ni nje ya mada. Kwa miaka mingi tuliambiwa Marekani na west ni mababa wa Demokrasia na uhuru wa habari,uhuru wa kujieleza na uhuru wa kusafiri.je tulidanganywa au muda wa ku prove ulikua hatujafika?

Iko hivi:
Mmarekani mmoja kati ya wamarekani wengi ambae amekua akizikosoa sera za mambo ya nje za Marekani za uchokozi na undumilakuwili wa taifa lake,amekua akizikosoa vita ya Ukraine na Israel kua chanzo ni taifa lake.bwana huyo amekua akilaani vikali matumizi mabaya ya Hela za walipa Kodi wa USA. Na Kupelekea Vifo visivyo na sababu vya vijana na watu wa Ukraine Kwa sababu TU ya uchokonozi wa Marekani dhidi ya Urusi.
Huyu bwana sio mtu mdogo,bali ni mwanqjeshi wa zamani wa Marekani,Jasusi na mkaguzi wa silaha za Iraq anaitwa Scott Ritter.

Huyu bwana amekua akisafiri sehemu mbalimbali ulaya na Asia kwa mambo yake binafsi na amekua akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii kutoa maoni yake kuhusu vita ya Ukraine na vita vya Palestine,lakini kwa kweli amekua akipinga vita zote na kusema chanzo ni nchi yake.

Sasa juzi kati hapa alialikwa kwenye kongamano la kimataifa nchini Urusi katika mji wa St Petersburg.
Kichekesho ni kwamba Mwamba huyu akiwa tayari ndani ya ndege alishushwa na maafisa usalama wa Marekani na mizigo yake na kunyang'anywa Pasi yake ya kusafiria,alipouliza sababu akajibiwa kua wao wamepewa maagizo kutoka juu

Je Demokrasia na uhuru wa kujieleza umekwisha Marekani?

TUMEPATA MAJIBU hapa
Angekua ni raia wa Urusi ndio ambae angetaka kuondoka Urusi kwenda ulaya ama Marekani kafanyiwa hivyo na serikali ya urusi,naamini vyombo vyote vya habari vya west vingelitangaza tukio hilo na hata channel 10 ya Tanzania ingeamrishwa kutangaaza tuko hilo.

Mbali na hiyo, kuna kiongozi mmoja wa nchi za ulaya alikusudiwa kuuwawa lkn akajeruhuiwa vibaya sana na Sasa Yuko hospitali mahututi, huyu nae ni mpinga vita vya ukraine. Wapenda vita wakaona ni kikwazo Cha ajenda zao wakapanga kumla kichwa lkn Mungu hakuridhia.

Huyu angekua ni kiongozi wa Urusi,nadhani Kila siku kwa mwaka mzima vyombo vya west vingelitangaza tukio hilo.

Haya yote ni majibu tumeyqpata katika mgogoro huu wa Ukraine na Urusi.

Ma Pro USANATO tunaomba mtuambie je Cuba sio nchi huru?

Haina haki ya kuchagua upande?

Kosa la Cuba nini au Cuba alimkosea ni USA hata kumuwekea vikwazo vikali na vya maisha?

Je, Ukraine ndio mwenye haki ya kujiunga na NATO lkn Cuba Hana haki hiyo.

Je, Urusi Haina haki ya kupeleka silaha kwa marafiki zake kwa ajili ya kufanya mazoezi?

Tujadili.
Us ametangaza kuivamia Cuba au kishaanza kuibomoa na kuuwa wa Cuba?.
 
Hebu nyie vijana muwe mnapunguza uwongo na uzushi. Submarine aliyopeleka Russia nchini Cuba aliipeleka baada ya kualikwa na Cuba kwa ziara ya siku 5 (maana mmekuwa mkudanganyana kuwa ndiyo imehamia kimija), na hakualikwa Russia peke yake bali Canada pia ilialikwa.

Wakati unayaandika yote haya ukijua Russia ndiyo ameshahamia Cuba, nikutaarifu tu kwamba submarine hiyo ya Russia imeshaondoka Cuba tangu Jumatatu baada ya kumaliza Fortila.

Kuhusu uchumi wa Cuba kudidimia na kuishi kimasikini, hapo unamlaumu nani? Kama Cuba ilichagua kuwa na Russia kwanini usiilaumu Russia kwa kutoisaidia Cuba kustawi kiuchumi kwa miaka yote ambayo USSR na Russia walikuwepo nchini Cuba? Kwanini waliigeuza Cuba kuwa store ya kuhifadhia machumachuma yao pasipo kuisaidia nchi?

Baada ya Russia kuondoka Cuba mbona US sasa hivi imepeleka miradi mingi tu ya kimaendelea inayolenga kuimarisha maisha ya wananchi wa Cuba na miundombinu iliyokuwa imeshajichokea?

Tafuteni vya kuongea, kuliko kuchagua kudanganyana. Hata sisi zamani tulikuwa Wajinga kama nyie, bahati mbaya zaidi ujinga wetu tulifundishwa na kufundishana mashuleni, hadi mtaani story zilikuwa ni kujazana huu ujinga mnaojazana hivi sasa, bahati mbaya nyingine, zama zile hatukuwa na namna ya kuhakiki ukweli wa taarifa.

Mashuleni tulifundishwa na tukafuatiliwa kuhakikisha tunaishi kijamaa na kikomunist, tukafundishwa mazuri ya China na Russia, hatukuwahi kupewa nafasi ya kuona pande zao nyingine, tukaaminishwa kuwa Wazungu ni Manyang’au, washenzi, mabeberu lakini kwenye mikutano ya kimataifa na kdiplomasia tulikuwa tukiwasikia viongozi wetu wakijunasibu kwamba nchi yetu haifungamani na upande wowote.
 
Mkong'oto nani kammega mwenzie???hio ni vita sio kidali poo casualties lazima ziwepo ila kikubwa nani kamegwa?? Na anaendelea kumegwa
Usjar mzee ardhi yote itarudi kama ivyokuwa

Kyiv 😇

Khakivu 😇

Kheson 😇

Mykolaiv 😇

Kupyansk😇

Snake island 😇

Lyman 😇

Black sea route 😇

Odessa 😇

Izium 😇..,niendelee au🤣
 
images.jpeg-59.jpg
 
Hivi ninyi vijana wa 2000 mnaosema Russia anapambana na NATO mna akili sawasawa kweli?

Nguvu za kijeshi za NATO kuna taifa linaweza kusimama dhidi yake? Hivyo vimisaada wanavyopewa Ukraine ni kama 20% ya uwezo wa NATO.

Wadogo zangu, embu wekezi akili zenu zaidi ktk kuongeza uchumi wenu kuliko kumkweza Putin kila wakati kwa kuanzisha thread za ajabu ajabu huku

Hivi ninyi vijana wa 2000 mnaosema Russia anapambana na NATO mna akili sawasawa kweli?

Nguvu za kijeshi za NATO kuna taifa linaweza kusimama dhidi yake? Hivyo vimisaada wanavyopewa Ukraine ni kama 20% ya uwezo wa NATO.

Wadogo zangu, embu wekezi akili zenu zaidi ktk kuongeza uchumi wenu kuliko kumkweza Putin kila wakati kwa kuanzisha thread za ajabu ajabu huku JF.
muhenga kichwa chako mbona kama mfuko wa kubebea meno..wamatekan unaowaona kwenye picha za rambo na chek noris sio ihalisia ashamshndw mrus miak ming tu tang enz za usoviet mrus ndo mtu wa kwanza kwa tecnology iwe siraha kwenda anga za mbal manual ya kwanz ya nyuklia makombora ya hypersonic 5generetion jet fighter na kila ktu af anategemea uchum wke marekan beberu tu mnyonyaj anatgmea michango ya nch zngne kuendesha nato nato iyo iyo imemshndwa korea kaskazin nato iyo iyo imetoq majesh kwa aib afghanstan nato unaiona ww ni mikwara tu na undumilakuwil labd kupgana na waarab ambao awana tecnolog ya nyuklia ndo anawez ila amwez hat mchina then ukiwaz nato ni muungano ht mrus ana wagner inafanya kaz kama nato tu ikichangiwa na wapnzan wa marekan km blazir india china korea kaskazn souz africa iran pakstan vietnam so nato akipgan na hao wagna watapgana ivo impact itakua kubwa akipgan na urus marekan awez pekeake lazm na mashoga zke na mrus nae akivamiwa anawashirika wake sawa mtu mzima ovyo
 
Tatizo linakuja pale urusi anapotaka kujiona yupo level sawa na marekani,haoni wenzake wakina Japan, south Korea, German na wengineo waliokuwa wababe ,waliachana na hizo mambo na kujenga uchumi wao? Kila zama na kitabu chake,walikuwepo great Britain,waroman,na falme nyinginezo lakini zama zao zilipita bila nchi yoyote kutumia nguvu kuziondoa kwenye ukilanja wa dunia kama urusi anavyotaka kufanya kwa Sasa

Hizi ni zama za "United States " mwachen atambe vinginevyo ukishindana nae utaumia!
we akil zako bana ukiona kwenye movie za rambo na seal team unaona ndo uhalisia halis au sio yn marekan ndo kila ktu mbona kashindwa kwa mapanki tu wa korea kaskazin🤣🤣sema marekan ana mikwara na propaganda za kufanya wajinga km ww waone ndo kila kitu mbona ukrain anateketea niji inabebwa ajasaidia chochot na mwanzo kabla ya vita alipga mikwara akasema mrus akimvamia atachapwa na nato itaingia vitan wik tu mrus anamalizwa kikoap bro kaishia kutuma misada tu
 
Hivi ninyi vijana wa 2000 mnaosema Russia anapambana na NATO mna akili sawasawa kweli?

Nguvu za kijeshi za NATO kuna taifa linaweza kusimama dhidi yake? Hivyo vimisaada wanavyopewa Ukraine ni kama 20% ya uwezo wa NATO.

Wadogo zangu, embu wekezi akili zenu zaidi ktk kuongeza uchumi wenu kuliko kumkweza Putin kila wakati kwa kuanzisha thread za ajabu ajabu huku JF.
Eti Putin apigane na NATO! Yaani hata kucheka mtu inashindwa unabaki kuwaonea huruma wanaomtweza Putin.
 
Back
Top Bottom