Sasa tumepata majibu baada ya Urusi kupeleka nyambizi Cuba

Us ametangaza kuivamia Cuba au kishaanza kuibomoa na kuuwa wa Cuba?.
 
Hebu nyie vijana muwe mnapunguza uwongo na uzushi. Submarine aliyopeleka Russia nchini Cuba aliipeleka baada ya kualikwa na Cuba kwa ziara ya siku 5 (maana mmekuwa mkudanganyana kuwa ndiyo imehamia kimija), na hakualikwa Russia peke yake bali Canada pia ilialikwa.

Wakati unayaandika yote haya ukijua Russia ndiyo ameshahamia Cuba, nikutaarifu tu kwamba submarine hiyo ya Russia imeshaondoka Cuba tangu Jumatatu baada ya kumaliza Fortila.

Kuhusu uchumi wa Cuba kudidimia na kuishi kimasikini, hapo unamlaumu nani? Kama Cuba ilichagua kuwa na Russia kwanini usiilaumu Russia kwa kutoisaidia Cuba kustawi kiuchumi kwa miaka yote ambayo USSR na Russia walikuwepo nchini Cuba? Kwanini waliigeuza Cuba kuwa store ya kuhifadhia machumachuma yao pasipo kuisaidia nchi?

Baada ya Russia kuondoka Cuba mbona US sasa hivi imepeleka miradi mingi tu ya kimaendelea inayolenga kuimarisha maisha ya wananchi wa Cuba na miundombinu iliyokuwa imeshajichokea?

Tafuteni vya kuongea, kuliko kuchagua kudanganyana. Hata sisi zamani tulikuwa Wajinga kama nyie, bahati mbaya zaidi ujinga wetu tulifundishwa na kufundishana mashuleni, hadi mtaani story zilikuwa ni kujazana huu ujinga mnaojazana hivi sasa, bahati mbaya nyingine, zama zile hatukuwa na namna ya kuhakiki ukweli wa taarifa.

Mashuleni tulifundishwa na tukafuatiliwa kuhakikisha tunaishi kijamaa na kikomunist, tukafundishwa mazuri ya China na Russia, hatukuwahi kupewa nafasi ya kuona pande zao nyingine, tukaaminishwa kuwa Wazungu ni Manyangโ€™au, washenzi, mabeberu lakini kwenye mikutano ya kimataifa na kdiplomasia tulikuwa tukiwasikia viongozi wetu wakijunasibu kwamba nchi yetu haifungamani na upande wowote.
 
Mkong'oto nani kammega mwenzie???hio ni vita sio kidali poo casualties lazima ziwepo ila kikubwa nani kamegwa?? Na anaendelea kumegwa
Usjar mzee ardhi yote itarudi kama ivyokuwa

Kyiv ๐Ÿ˜‡

Khakivu ๐Ÿ˜‡

Kheson ๐Ÿ˜‡

Mykolaiv ๐Ÿ˜‡

Kupyansk๐Ÿ˜‡

Snake island ๐Ÿ˜‡

Lyman ๐Ÿ˜‡

Black sea route ๐Ÿ˜‡

Odessa ๐Ÿ˜‡

Izium ๐Ÿ˜‡..,niendelee au๐Ÿคฃ
 
 

muhenga kichwa chako mbona kama mfuko wa kubebea meno..wamatekan unaowaona kwenye picha za rambo na chek noris sio ihalisia ashamshndw mrus miak ming tu tang enz za usoviet mrus ndo mtu wa kwanza kwa tecnology iwe siraha kwenda anga za mbal manual ya kwanz ya nyuklia makombora ya hypersonic 5generetion jet fighter na kila ktu af anategemea uchum wke marekan beberu tu mnyonyaj anatgmea michango ya nch zngne kuendesha nato nato iyo iyo imemshndwa korea kaskazin nato iyo iyo imetoq majesh kwa aib afghanstan nato unaiona ww ni mikwara tu na undumilakuwil labd kupgana na waarab ambao awana tecnolog ya nyuklia ndo anawez ila amwez hat mchina then ukiwaz nato ni muungano ht mrus ana wagner inafanya kaz kama nato tu ikichangiwa na wapnzan wa marekan km blazir india china korea kaskazn souz africa iran pakstan vietnam so nato akipgan na hao wagna watapgana ivo impact itakua kubwa akipgan na urus marekan awez pekeake lazm na mashoga zke na mrus nae akivamiwa anawashirika wake sawa mtu mzima ovyo
 
we akil zako bana ukiona kwenye movie za rambo na seal team unaona ndo uhalisia halis au sio yn marekan ndo kila ktu mbona kashindwa kwa mapanki tu wa korea kaskazin๐Ÿคฃ๐Ÿคฃsema marekan ana mikwara na propaganda za kufanya wajinga km ww waone ndo kila kitu mbona ukrain anateketea niji inabebwa ajasaidia chochot na mwanzo kabla ya vita alipga mikwara akasema mrus akimvamia atachapwa na nato itaingia vitan wik tu mrus anamalizwa kikoap bro kaishia kutuma misada tu
 
Eti Putin apigane na NATO! Yaani hata kucheka mtu inashindwa unabaki kuwaonea huruma wanaomtweza Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ