Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Mind smelter....Mzee Abdul+FaizaFox+Bi Zainab Tamim-One face in three dimensional


High risk of losing ,higher return but


DONT INVEST MONEY ,U NEVER AFFORD TO LOSE

Umenikumbusha western movie moja ya zamani sana, The Good the bad and the ugly.
 

Asante sana kwa maswali mazuri sana.

Miradi mikubwa ambayo inahitaji mchanga kwa wingi sana ipo. Wiki iliyopita pekee nimetembelewa na contractors watatu tafauti.

Mmoja wa mwakilishi wa Waturuki wa reli. Wawili Wachina wanajenga viwanda vipya si mbali na hapa kwetu.

Licha ya hao kuna mradi mkubwa sana wa land reclamation umeanza Zanzibar nao wanahitaji mchanga kwa wingi sana.

Demand ya mchanga ipo juu sana huku kwetu kwa kuwa machimbo yote ya karibu na mjini yamezuiwa.
 

Shukrani kwa majibu mazuri. Ubarikiwe sana
 
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu mmoja alietusoma hapa JF.

Huyo ndugu yetu ni Diaspora, baada ya kutusoma kamtuma ndugu yake jana aje kujionea shughuli zetu. Bahati nzuri akanikuta kwani time aliyokuja nami nilikua najitayarisha kwenda mjini kuzika. Nikampa kijana wetu ampeleke site ya machimbo yetu na akajionea mwenyewe na akaiona na excavator tunaoiongelea hapa. Kijana aliempeleka site anasema akapiga na picha nyingi tu.

Natamani ingewezekana yule kijana alieagizwa kuja kujionea angeleta mrejesho hapa.

Pia nimependa sana huyo ndugu yetu kwa uamuzi alioufanya wa kuja kujionea mwenyewe.

Asante sana. Njoo tuwekeze kwa faida ya wengi.
 
Tuko pamoja.
 

Ok, Bro, wishing you, all investors and Vitendo Saccos well and a lot of success in this project and future projects.
 
Ok Bro, wishing you, all investors and Vitendo Saccoss well and a lot of success in this project and future projects.

Shukrani sana kaka. Kwa sasa nanufaika na mmojawapo ya miradi ya hawa Wazee.

Ni mfumo na mawazo mazuri yanayoweza kusaidia makundi mbalimbali kujikwamua kiuchumi.
 

Attachments

  • 20170921_163445.png
    139.8 KB · Views: 76
Ofisi zenu zipo wapi? Pili, Mmesajiriwa kwa kazi hiyo? JE mradi unahusika na NINI? Nikitoa hiyo laki tano Mimi nanufaikaje? KUSHIRIKI Wangu ni NINI au nafasi Yangu ni IPI? Ni shughuli gani inayofanyika?
 
Ofisi zenu zipo wapi? Pili, Mmesajiriwa kwa kazi hiyo? JE mradi unahusika na NINI? Nikitoa hiyo laki tano Mimi nanufaikaje? KUSHIRIKI Wangu ni NINI au nafasi Yangu ni IPI? Ni shughuli gani inayofanyika?

1) Ofisi zetu ni site ya machimbo ilipo na nyumbani kwangu. Misugusugu, Kibaha mtaa wa Vitendo.

2) Tumesajiliwa kuchimba michanga kihalali kabisa na mradi huu tunaoutangaza hapa, excavator ina usajili wote kihalali.
3) Ninakuomba rudia kusoma post namba moja mradi umeelezewa hapo.
4) ukitoa laki tano unakuwa mwekezaji uliewekeza kwenye mradi na utafaidika kwa faida itaopatikana kwa uwekezaji wako kama hivi...

500,000 (mtaji) X 1.5 (150%) = 750,000 (faida)...

500,000 mtaji + 750,000 faida = 1,250,000...

1,250,000 / 365 (siku za kazi) = 3,425 kwa siku...

Utachagua zilipwe kila wiki 3,425 X 7 = 23,975 au kila mwezi 3425 X 30 = 102,750

5) Shughuli zitakazofanyika ni hio excavator tunaoiongelea kupakilia mchanga kwenye magari ya mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…