Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Kumekucha...

Tunapenda kuwafahamisha sasa tumeanza kupokea ahadi (pledges) za uwekezaji wa excavator.

Lengo ni kukusanya 40,000,000 mpaka sasa tumepokea 10,500,000.

Let your money make more money.
 
Hao mapunguani wenzako wanaokuja na uhasidi humu tuwawache? Ndiyo kusudio lenu mharibu uzi, roho zinawauma mnapoona watu wanaendelea. Hamtaweza.
Mpumbavu mmoja ww usiejielewa sibishani na wewe zwazwa unaewashwa.
 
Update...

Lengo ni kukusanya 40,000,000 mpaka sasa tumepokea 15,500,000
 
Update...

Lengo ni kukusanya 40,000,000 mpaka sasa tumepokea 26,500,000

Wahi fursa.
 
Hyo mjinga mjinga anawaharibia biashara na kufanya muwe na taswira mbaya kwa wateja/wawekezaji wenu.ingawa lengo lenu ni zuri

Tumekuelewa na tumeshamjulisha asijibu kitu kwenye huu uzi, unaweza kupitia juu ukajionea.

Tunakuomba na kukusihi na wewe achana na hilo jambo.

Karibu uwekeze kwa faida ya wengi ndio lengo kuu la huu uzi.

Tayari tuna 26.5m katika target ya 40m. Bado tunahitaji 13.5m tufunge huu uwekezaji tuanze kazi.

Karibu sana.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 29.5m Target ni 40m. Bado tunahitaji 10.5m tuanze kazi.

Update...

Part ya excavator from UK imeshanunuliwa na Mwana VTS na mwekezaji mwenzetu wa huko UK.

Huyu mwenzetu katuonea hapa hapa JF.

Sasa tunahitaji 10.5m tuanze kazi hii.

Wahi fursa.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 32m Target ni 40m. Bado tunahitaji 8m tuanze kazi.

Fursa inaondoka hiyo.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 32. 5m Target ni 40m. Bado tunahitaji 7.5m tuanze kazi.

Fursa inaondoka hiyo.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 33m Target ni 40m. Bado tunahitaji 7m tuanze kazi.

Fursa inaaga hiyo.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 33. 5m Target ni 40m. Bado tunahitaji 6.5m tuanze kazi.

Fursa inaaga hiyo.
 
kwaherini
 
Update...

Excavator project tayari tuna 34m Target ni 40m. Bado tunahitaji 6m tuanze kazi.

Fursa inaaga hiyo.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 34m Target ni 40m. Bado tunahitaji 6m tuanze kazi.

Fursa inaaga hiyo.

Wadau,

Kwanza kabisa ninamshukuru sana Mwenyeezi Mungu kwa yote.

Pili nina furaha kubwa sana kuwafahamisha kuwa mradi wetu wa excavator umeanza ku take kukamilisha kuchangishana mtaji. Tumeweza kufikia lengo letu la kuzipata Shillingi million 40 kabla ya deadline iliyokuwa tarehe 30 Septemba 2017.

Jana saa tano na dakika hamsini na moja za usiku tuliweza kufanikisha kufikia lengo letu kupitia mwana VTS, ndugu yetu, Dada yetu, binti yetu Bi Happyness.

Hakika Happyness ameliishi jina lake kwa kuleta furaha kwa wengi tuliokuwa tunaufatilia mradi huu kwa karibu. Asante sana kwa hilo.

Natoa Shukrani zangu za dhati kwa wana VTS wote waliofanikisha jambo hili. Asanteni sana.

Kila kazi haikosi changamoto zake na katika kukamilisha zoezi letu hili tukakumbwa na changamoto iliotufanya tuongeze bajeti ya Shillingi million tano kwenye mradi. Tikaiita hio contingency. Contingency hio haituzuwii kuanza kazi zetu lakini ni vyema tukaipata.

Kwa hio wale wote watakaovutiwa na aina hii mpya ya mageuzi ya kupata mtaji wa uwekezaji kihalali katika uwekezaji halali bado kuna fursa.

Contingency yetu baina ya jana usiku na leo alfajiri imeshuka toka 5m mpaka kufikia 4.55m.

Mnakaribishwa wote kujiunga nasi kwenye Vitendo SACCOS katika kuleta mageuzi ya kiuchumi binafsi Tanzania.

Baadae tutajaribu kuwaletea jinsi zoezi lilivyokwenda jana kabla ya kufanikisha.

Asanteni sana kwa kutufatilia.

VITENDO SACCOS tunawakaribisha.

Abdul Ghafur

Mwenyekiti
Vitendo SACCOS.
0625249605.
 
Update...

Excavator project tayari tuna 40m Target ni 40m. Bado tunahitaji 0.00m tuanze kazi.

Contingency 4. 55 to go.

Unaweza kuwekeza kwenye contingency. Masharti ni yale yale.

Contingency haina deadline date. Deadline yake ni itakapokamilika.

Fursa inaaga hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…