Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Maneno mazito kutoka kwa Mwana VTS...
Assalam alaykum
Kuna wakazi wa eneo fulani walikubaliana wakutane ili kuombea mvua; lakini cha kushangaza mtu mmoja tu ndio alichukua mwamvuli siku hiyo ya dua...Imani ni muhimu sana katika ujasiriamali... Mimi nilipata habari za VTS kwa kusoma Jamiiforums...nikachukua namba nikampigia simu mzee Abdul Ghafur akanielezea... nikamtumia 10,000 nimejiunga... nikamuunganisha na ndugu yangu... ulipoanza mradi wa pili wa mchanga nikawekeza 1m... Alhamdu lillaah pesa niliyowekeza ilirudi kwa wakati...na mimi ndio niliamua kuwekeza faida yangu ya laki tano kwenye mradi wa excavator... Hayo yote niliyafanya bila ya kumuona wala kufika Misugusugu... Vijana wenzangu wazee wetu wanafanya jitihada kuhakikisha huu umoja unafikia malengo ya kumkwamua kila mmoja wetu... Tuwaunge mkono...tuwekeze...tuchangie chochote tulicho nacho...
Salum Masudi Hassan