Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Maneno mazito kutoka kwa Mwana VTS...

Assalam alaykum
Kuna wakazi wa eneo fulani walikubaliana wakutane ili kuombea mvua; lakini cha kushangaza mtu mmoja tu ndio alichukua mwamvuli siku hiyo ya dua...Imani ni muhimu sana katika ujasiriamali... Mimi nilipata habari za VTS kwa kusoma Jamiiforums...nikachukua namba nikampigia simu mzee Abdul Ghafur akanielezea... nikamtumia 10,000 nimejiunga... nikamuunganisha na ndugu yangu... ulipoanza mradi wa pili wa mchanga nikawekeza 1m... Alhamdu lillaah pesa niliyowekeza ilirudi kwa wakati...na mimi ndio niliamua kuwekeza faida yangu ya laki tano kwenye mradi wa excavator... Hayo yote niliyafanya bila ya kumuona wala kufika Misugusugu... Vijana wenzangu wazee wetu wanafanya jitihada kuhakikisha huu umoja unafikia malengo ya kumkwamua kila mmoja wetu... Tuwaunge mkono...tuwekeze...tuchangie chochote tulicho nacho...

Salum Masudi Hassan
 
Update...

Excavator project tayari tuna 40m Target ni 40m. Bado tunahitaji 0.00m tuanze kazi.

Contingency 4. 55 to go.

Unaweza kuwekeza kwenye contingency. Masharti ni yale yale.

Contingency haina deadline date. Deadline yake ni itakapokamilika.

Fursa inaaga hiyo.
Update...
Excavator project tayari tuna 40m Target ni 40m. Bado tunahitaji 0.00m tuanze kazi.
Contingency 2.05m to go.

Contingency 0.00m to go.

Wadau,

Ni furaha ilioje kuwatangazia kuwa tumefunga rasmi kuchangishana kuhusu mradi wetu huu wa tano.

Tunashukuru wote waliowekeza, tunafahamu kuwa waliowekeza wameweka matumaini yao makubwa kwetu na tunawaahidi hatuta waangusha tunamuomba Mwenyeezi Mungu atufanyie wepesi.

Wote ambao walitamani kuwekeza lakini hawakupata fursa hii iliokwisha leo, tunawashauri wajiunge na Vitendo SACCOS huko kuna mengi sana ya maendeleo yanabuniwa kila kukicha.

Wale wote ambao wanaanza maisha na mitaji yao ni midogo tunawakaribisha ndani ya VTS, huko tutashauriana ni vipi tutakwamuana.

Lengo na dhumuni la VTS ni kukwamuana kiuchumi kwa njia za halali. Inawezekana.

Karibuni sana na asanteni sana kuufatilia uzi huu. Tunakaribisha maswali na tunawajulisha kuwa kila mwisho wa uwekezaji mmoja ni mwanzo wa uwekezaji mwingine. Tutawatangazia mradi wetu mpya baadae na karibuni sana kwa maendeleo ya wengi.

Vitendo SACCOS.

Abdul Ghafur
Mwenyekiti.
 
Maneno mazito kutoka kwa mwekezaji wetu.

Wakati nataka kufanya jambo hili nafsi yangu ilipata wepesi mno haikuwa na chembe ya shaka licho ya kuwa hatufahamiani, mwanzo nilikusudia kufanya kitu kingine ila nafsi ikawa inanisukuma kuwekeza huku, nimemuomba Mwenyezi Mungu sana kabla sijafanya hivyo. Allah atufanyie wepesi na atukidhie malengo yetu inshaallah. Je imefika lakini? nimepodeposit 10000000Tzsh kwenda account number XXXXXX BARCLAYS jina Ghafur Abdallah. Mohamed kupitia NMB XXXXXX.
 
Hello,
Karibu SUPERLIFE,kampuni inashughulika na usambazaji wa product inayoitwa STC30(Stem Cell) ambayo imetengenezwa kutokana na mimea kwa kutumia tekinolojia ya Phytocelltech kutoka kampuni ya MIBELLE BIOCHEMISTRY ya Uswisi.

Kazi kubwa ya hii product(STC30) ni kutengeneza seli mbalimbali mwilini hasa katika sehem ambako seli zimekufa,seli pungufu au zimeharibika(damaged cells).Stem cell imeonyesha matokeo makubwa sana kwa watu wenye matatzo ya Kisukar(Diabetic),Presha,Cancer,Vidonda sugu,Uti wa mgongo,Macho ,Moyo,viungo mwilini(joints) nk.STC30 ina karibu asilimia 100 pure stem cell,hivyo mtumiaji anashauriwa kutumia sachet moja kwa siku kwani ina nguvu sana ukilinganisha na stem cell zingne.Website ya kampuni ni www.superlifeworld.com

NAMNA YA KUPATA PRODUCT:

Unatakiwa ujiunge kupitia link au namba zilizo onyeshwa hapo chini kwa kuchagua kifurushi kati ya hivi:
1.STARTER bei shs 146,000/= unapewa product 1

2.STAR bei shs 257,500/= unapewa product 2

3.PREMIUM bei shs 1,000,000/= unapewa product 8 na

4.SUPER bei shs 2,485,000/=unapewa product 20.

MAMBO MENGINE MAZURI YA KAMPUNI:

1.Ukimshirikisha mtu mwingine ajiunge ,kampuni inakupa hapo hapo asante ya asilimia kati ya 25-35 kutegemea na aina ya kifurushi alichojiunga member mpya.

2.Kampuni inakuondolea gharama za shipping (10%) endapo utaamua ku -upgrade au kununua kifurush kikubwa zaidi.

3.Ukijiunga unapata product zako hapo hapo hakuna kusubir zitumwe toka nje.Kwa mikoani,kila mkoa utakuwa na ofisi.

4.Gharama ya kujiunga ni ndogo: Unalipa shs 146,000/= unakuwa member na unapewa product 1 ambapo sasa utakuwa unanunua products kwa bei ya chini kati ya dola 30-40 kutegemea na idadi utakayo nunua.

5.Car Plan:Kampuni pia imeamua kutoa awards magari 200 kwa afrika kwa watu 200 ndani ya siku 200 kuanzia 1st Oct 2017.

NB:Inashauriwa utumie product wew kwanza ili uwe shuhuda mzuri kwa wengne.

Kama una ndugu au rafiki ana matatzo kati ya hayo magonjwa,naomba nione inbox nikupe maelezo kwa kirefu.
 
Kwanini usifungue uzi wako, hapa tunaongelea uwekezaji. Hio ungepeleka jukwaa la Daktari au matangazo madogo.

Naomba tu uelewe kua biashara ni nidhamu. Tafadhali kuwa na nidhamu.
 
Babu sijaona hiyo project uliyosema inaitwa VIP nieleweshe please sina what app kwa sasa,Nokia Lumia wameshindana deal na whatapp hivyo siwezi kuingia hilo group la whatapp.
 
Kwa wale wenye uzoefu wa taaluma za "finance" na uwekezaji wataelewa kuhusu "capital pool" au mutual fund.

Huo ni uwekezaji wa kuchangia mtaji kwa faida ya wengi ambapo aidha unapunguza makali ya mtu mmoja au kikundi kuwekeza kwenye uwekezaji kipekee, kwa faida ya wengi.

Baada ya kufanya miradi minne (miwili imekamilika miwili inaendelea) sasa tunakuja na mradi wa tano wa kipekee.

Mradi huu unahitaji mtaji usiopungua million 40 na tunajumuisha wawekezaji wa kuanzia Shillingi 500,000 na kuendelea mpaka million 20. Hatutakusanya na kuchukua pesa zaidi million 40 zitakapokamilika.

Mradi unatarajiwa kuanza mara tu baada ya kukamilisha mtaji.

Tutakapofunga kuchukua wawekezaji tutatangaza.

Mradi unatarajiwa kulipa si chini ya asilimia 150 kwa siku 365 za kazi.

Mradi utahusika na heavy equipment (excavator).

Kwa maelezo zaidi na kujiunga wasiliana na Mzee Abdul, whatsapp 0625249605

Tunakaribisha maswali.

Ni idea nzuri lakini

Mtapopata hasara itakuaje??
 
Saccos imeanza taratibu za awali za utoaja mikopo au bado Katinu mtendaji hajapatikana?
 
Ni idea nzuri lakini

Mtapopata hasara itakuaje??

Ikitokea bahati mbaya tukapata hasara za kibiashara, ingawa tunajaribu sana kuwekeza kwenye miradi ya muda mfupi kwa kuanzia ambayo ina minimum risks, tuna backup ya assets. Na soon tutakuwa na investment Insurance, tuna negotiate na Insurance companies for the best deal.
 
Saccos imeanza taratibu za awali za utoaja mikopo au bado Katinu mtendaji hajapatikana?

Wadau,

Wana Vitendo SACCOS wote na wote ambao bado hawajajiunga na Vitendo SACCOS...

Tunafuraha kuchukua fursa hii ya kuwakaribisha na kuwaalika nyote kuhudhuria mkutano wetu wa kawaida wa pili (wa kwanza ulikua tarehe 01/05/2017 kutangaza nia ya kuunda Vitendo SACCOS). Mkutano huo utakuwa na agenda kuu mbili, kwanza kutakuwa na semina itayotolewa na Afisa Ushirika Kibaha. Pili, tutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa muda.

Tunatarajia kuchagua Mwenyekiti, Katibu na bodi ya kwanza ya Vitendo SACCOS. Pia tutachagua Wana kamati wa kamati mbili za awali. Kamati ya usimamizi na kamati ya mikopo.

Kila mwana VTS ana haki ya kuwania nafasi hizo, ana haki ya kupendekeza mwana VTS yeyote, ana haki ya kupendekezwa na Mwana VTS yeyote.

Tunawakaribisha nyote katika mkutano huo utakaoanza saa tano kamili za asubuhi na kuendelea mpaka saa saba mchana. Uchaguzi huo utahudhuriwa na Afisa Ushirika wa Kibaha kuhakikisha unakuwa huru na unafata sheria na kanuni zote za vyama vya ushirika ya mwaka 2013.

Mkutano utafanyika tarehe 21/10/2017, Vitendo Cinema Hall, mtaa wa Vitendo, kata ya Misugusugu, Kibaha - Pwani.

Google Maps

Kwa wataohudhuria tafadhali wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Asanteni sana.

Abdul Ghafur
 
Saccos imeanza taratibu za awali za utoaja mikopo au bado Katinu mtendaji hajapatikana?

Baada ya kukukaribisha kwenye mkutano wetu wa kuchagua viongozi, ninapenda kukufahamisha kuwa ndani ya Vitendo SACCOS tuna mpango bora zaidi ya mikopo.

Tuna mpango wa kuchangiana mitaji ambao ni bora zaidi ya mikopo. Karibu sana ujiunge nasi tufute dhana ya mikopo kwa maendeleo ya wengi.
 
Huu utapeli umenza lini

Tafadhali sana, si lugha njema. Hususan kwa kuwa hautujui. Tunakukaribisha katika mkutano wetu wa kawaida wa pili utaosimamiwa na afisa ushirika wa wilaya ya Kibaha ili ujiridhishe nasi kabla hujatupa jina baya la utapeli. Pia tunakukaribisha nje ya mkutano, siku yoyote upendayo kuja kututembelea na kutembelea miradi yetu ili ujiridhishe nafsi yako kuwa unatoa shutuma za kweli na ukiona kuwa umetoa shutuma ambazo si za kweli basi utuombe msamaha.

Vitendo SACCOS inaendeshwa kiuwazi, kila mwanachama anaelewa miradi yote iliopo na anahaki ya kutazama mahesabu wakati wowote. Na soon hesabu zote zitakuwa automated kila member atakuwa na access via mobile phone au computer kujua nini kinaendelea na hesabu zake ziko vipi. Nawe pia ambae bado hujajiunga nasi unakaribishwa kuja kukagua mahesabu yetu kwa faida yako, ujiridhgishe nafsi yako kwa shutuma nzito uliotupa.

Kama hio haitoshi basi tunakukaribisha ifatavyo:

Back
Top Bottom