Sasa tunaishi kwa UTU hatuitaji tena dini zenu

Sasa tunaishi kwa UTU hatuitaji tena dini zenu

Sawa mkuu , na nyie Mungu wenu wa Israel kawashushia kwa lugha ipi?
Sisi hatujashushiwa mkuu, Torat Musa alipewa maelekezo vya kuandika, maandiko mengine yameandikwa na manabii kwa msaada wa Mungu
 
Sisi hatujashushiwa mkuu, Torat Musa alipewa maelekezo vya kuandika, maandiko mengine yameandikwa na manabii kwa msaada wa Mungu
Thibitisha ni msaada wa Mungu , na sio maneno ya mwandishi tu🤔
 
Wenye nayo wanadai imeshushwa, wewe unadai haijashushwa tumuamini nani sasa🤔

Muhammad hivi Leo ukimpelekea KITABU cha Quran ukamuuliza anakijua atakuambia hakijui.

NI Sawa na Yesu apelekewe Biblia au kitabu cha Mathayo, Luka, Yohana hawezi kuvijua Kwa sababu viliandikwa akiwa HAYUPO.

Quran haijashushwa kama KITABU isipokuwa imeshushwa kama mafunuo(wanayo), revelation.

Na Mtume Muhammad alikuwa akihubiri huo wahyi Kwa Watu Kisha wale Watu baada ya Kifo cha Muhammad ndîo waliandika hiyo Quran Kwa kumemorize.
Miongoni mwa wanaotajwa kuandika hiyo Quran ni Mtu mmoja aitwaye Abu Bakar
 
Kwa akili tu ya kawaida tu Mungu mwenye uwezo na ameumba kila kitu hivi inaingia akilini kuwa Mungu dini yake ni uislamu,hivi dini inamsaidia nini Mungu wakati yeye ndio kila kitu!?
Kila kitu una maanisha nini mkuu? Kwamba hata mimi ni Mungu ?
 
Back
Top Bottom