Muhammad hivi Leo ukimpelekea KITABU cha Quran ukamuuliza anakijua atakuambia hakijui.
NI Sawa na Yesu apelekewe Biblia au kitabu cha Mathayo, Luka, Yohana hawezi kuvijua Kwa sababu viliandikwa akiwa HAYUPO.
Quran haijashushwa kama KITABU isipokuwa imeshushwa kama mafunuo(wanayo), revelation.
Na Mtume Muhammad alikuwa akihubiri huo wahyi Kwa Watu Kisha wale Watu baada ya Kifo cha Muhammad ndîo waliandika hiyo Quran Kwa kumemorize.
Miongoni mwa wanaotajwa kuandika hiyo Quran ni Mtu mmoja aitwaye Abu Bakar