Sasa tunaishi kwa UTU hatuitaji tena dini zenu

Serekali tuooneeni huruma jamani tupeni ajira. Mtaani ni kugumu sana
Mkuu serikal imekuonea huruma, yamkini umesoma ada ilikuwa ilikuwa elf 20, huruma hizo, ukaenda Advance ada 35 huruma hizo, chuo umepewa mpaka mkopo huruma hizo, unataka huruma gani tena😂😂😂😂😂
 
Sawa mkuu , na nyie Mungu wenu wa Israel kawashushia kwa lugha ipi?
Sisi hatujashushiwa mkuu, Torat Musa alipewa maelekezo vya kuandika, maandiko mengine yameandikwa na manabii kwa msaada wa Mungu
 
Sisi hatujashushiwa mkuu, Torat Musa alipewa maelekezo vya kuandika, maandiko mengine yameandikwa na manabii kwa msaada wa Mungu
Thibitisha ni msaada wa Mungu , na sio maneno ya mwandishi tu🤔
 
Wenye nayo wanadai imeshushwa, wewe unadai haijashushwa tumuamini nani sasa🤔

Muhammad hivi Leo ukimpelekea KITABU cha Quran ukamuuliza anakijua atakuambia hakijui.

NI Sawa na Yesu apelekewe Biblia au kitabu cha Mathayo, Luka, Yohana hawezi kuvijua Kwa sababu viliandikwa akiwa HAYUPO.

Quran haijashushwa kama KITABU isipokuwa imeshushwa kama mafunuo(wanayo), revelation.

Na Mtume Muhammad alikuwa akihubiri huo wahyi Kwa Watu Kisha wale Watu baada ya Kifo cha Muhammad ndîo waliandika hiyo Quran Kwa kumemorize.
Miongoni mwa wanaotajwa kuandika hiyo Quran ni Mtu mmoja aitwaye Abu Bakar
 
Kwa akili tu ya kawaida tu Mungu mwenye uwezo na ameumba kila kitu hivi inaingia akilini kuwa Mungu dini yake ni uislamu,hivi dini inamsaidia nini Mungu wakati yeye ndio kila kitu!?
Kila kitu una maanisha nini mkuu? Kwamba hata mimi ni Mungu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…