Sasa tunaishi kwa UTU hatuitaji tena dini zenu

Ngoja tuone mkuu
 
Ngoja tuone mkuu

Mfuatilie huyo mwamba anayeitwa Abu Bakar

Nabii pekee aliyeleta maandishi yaliyoandikwa Kwa Chanda cha mungu wake alikuwa Musa kupitia zile mbao Mbili na NI Amri 10 tuu

Hao Wengine yalikuwa Mafunuo yaliyofunuliwa waliyochanganya na maonî na mawazo Yao kutokana na uelewa waô, Elimu yako, uzoefu waô, tamaduni zào na Zama zao
 
Tatizo ni hivyo hivyo vitabu ,humo humo vinadai ni maneno ya Mungu ,yani ni sawa usome hadithi ya sungura na fisi halafu nwandishi akuambie ni kweli kabisa sungura na fisi walikua marafiki , then watokee watu kulihamashisha hilo kwa nguvu kwa kigezo cha imani.
 

Kwa hîyo Mimi nikiandika KITABU nikasema maneno ya Mungu Wewe utayaita maneno ya Mungu?

Hayo ni mawazo ya Muhammad yaliyowekwa kwèñye rekodi ya vitabu na kuitwa Quran na kina Abu Bakar.

Wewe maneno ya Mungu aliyeumba Dunia unafikiri mchezo?

Haya Musa kadai Yale Mawe aliyotoka nayo Mlimani yaliandikwa na Mungu. Alafu akayapasua Kwa hasira. Hivi Kwa Akili ya kawaidà Mwanadamu anaweza kuvunja jiwe na maandiko aliyoandika Mungu Muumbaji
 
Kwa hiyo unataka kusema kuna namna tulipangwa mkuu?🤔
 
Kabisa mkuu, wengi sana wanaanza kujitambua .
On the throne of time religion, God must go.

A lie must surely Perish.

Dini ziliweza kudanganya watu wengi, Lakini haziwezi kudanganya watu wote kwa wakati wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…