Sasa tuone kama Simba itakufa

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
265
Reaction score
421
Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama.

Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!

Hongera SSC kwa operation hiyo!

Kila jambo na wakati wake na kila wakati na jambo lake! Enzi za Chama zimepita tunaanza na enzi mpya!

===

Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
 
Mfa maji haachi kutapa ukweli simba wamepoteana.ni swala la muda mtaona.
 
NI FURAHA HAKIKA
 
Kwakweli nimepigwa na kitu kizito, nimejikatia tamaa
 
Simba imefanya jambo la maana sana kuachana na chama hongera Sana kwa uongozi ๐Ÿ‘๐Ÿฟ๐Ÿ‘๐Ÿฟ๐Ÿ‘๐Ÿฟ๐Ÿ‘๐Ÿฟaisee leo kwa furaha niliyo nayo jioni lazima nikapige kitimoto safi kama kilo 3 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ