Sasa tuone kama Simba itakufa

Sasa tuone kama Simba itakufa

Yametimia! Sasa Tuone Kama SSC Itakufa au Haitafanya vizuri Kwa kutokuwepo na Chama.
Nawaambia Wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila Fulani timu haichezi, sasa WASUBIRI Tuone Kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!
Hongera SSC Kwa operation hiyo!
Kila Jambo na wakati wake na kila wakati na Jambo lake! Enzi za Chama zimepita tunaanza na enzi mpya!
Ndiyo maana mliitwa mbumbumbu, mchezaji muhimu anapoondoka mnaona poa tu. Na hapo ameimarisha upande wa pili. Simba mnatakiwa mjitafakari badala ya kujidai eti safisha safisha.
 
Mimi ni Simba ila sijui timu hiyo ni inafanyaga nini mf. Hai ni huu mtu malaya na mshoga nafuu nini . Umalaya kwa mwanaume lakini. Ila simba saivi haina kipengele mnatuaibisha kwa sababu mko kama mashoga tu hamna jingine . Mna vaa jezi bure mnaenda kule kushikwa shikwa tu mnarudi jamani hii timu ifutwe tu ibaki simba girls atleast ipo juu kwa ligi na magoli . Simba queens jamani majike ndio wanajitambua nyie ma boys kajambeni mkalalale mnakera kazi ushoga tu. Ndio mANA CHAMA KAENDA
 
Mboni unajitukana mwenyewe !
 
Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama.

Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!

Hongera SSC kwa operation hiyo!

Kila jambo na wakati wake na kila wakati na jambo lake! Enzi za Chama zimepita tunaanza na enzi mpya!

===

Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
mara ya ngapi
 
Back
Top Bottom