Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Aaahh ... We unaniona kibamia wenzako wanaridhika nacho....shida ipo kwako tu....🤣Mkuu unataka tuone kibamia chako 😄😄
Yaani TBL bia?Ila akili za Moo bhana!! Gari la TBL amelijaza machata yake bila hata ya aibu!! Lile jipya sijui liko wapi?
Yah! Hizo Yutong walipewa kitambo na Kampuni ya bia ya Kilimanjaro, yeye na mtani wake Yanga!Yaani TBL bia?
Huyu jamaa ni front page conman..Yah! Hizo Yutong walipewa kitambo na Kampuni ya bia ya Kilimanjaro, yeye na mtani wake Yanga!
Sasa Moo ndiyo kaona ajaze machata yake kila sehemu, huku lile basi jipya wanalo jisifia kudhaminiwa na Kampuni ya magari ya Aficarriers likipotelea kusiko julikana.
Yaani anawachezea tu akili! Bilioni 20 zimeishia kwenye lile bango kubwa mfano wa hundi! Jana kimada wake kaenda kupiga picha za magari ya watu, akawadanganya eti ni ya timu!Huyu jamaa ni front page conman..
Alifaa kuwa jela anawapiga sana mbumbumbu.
Heri iwe kibamia..yaweza kuwa mashimo yaliyozibuliwa.Mkuu unataka tuone kibamia chako [emoji1][emoji1]
Yah! Hizo Yutong walipewa kitambo na Kampuni ya bia ya Kilimanjaro, yeye na mtani wake Yanga!
Sasa Moo ndiyo kaona ajaze machata yake kila sehemu, huku lile basi jipya wanalo jisifia kudhaminiwa na Kampuni ya magari ya Aficarriers likipotelea kusiko julikana.
Yaani anawachezea tu akili! Bilioni 20 zimeishia kwenye lile bango kubwa mfano wa hundi! Jana kimada wake kaenda kupiga picha za magari ya watu, akawadanganya eti ni ya timu!
Leo timu inaingia uwanjani na Yutong ya TBL ya miaka 10 na zaidi iliyopita! Moo ni janja janja sana. Na kwa hawa mbumbumbu mpaka waje kushtuka usingizini, watakua wamebakia na kale kajengo kao chakavu ka Mtaa wa Msimbazi.
Kwani huyu ni mwanaume? Mbona anamuandiko wakivulana vulana?Nadhani Mo kuna mahali alikuzidi kete si kwa gubu hili kwa Mwanaume mwenzio[emoji3][emoji3]
We Chizi" utavua kweli kweli!?Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.
Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo. Tunaanza kuchukua kombe moja baada ya jingine. Na tumeanza na ngao ya jamii.
Ondoeni shaka. Tulimleta Zahera sababu hii pia. Amekuja na wataalamu toka Congo. Kifupi SIMBA HATOKI LEO. SIMBA ANAUMIA VIBAYA SANA.
SIMBA ASIPOFUNGWA LEO NAVUA NGUO. HILI NALIWEKA WAZI.