Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kwa akili hizi ndiyo maana kila mwaka mnafeli kimataifa huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wewe acha tu Nyama Pori inaliwa Supu leo bila huruma na Mifupa yake inatafunwa tafunwaSimba anakufa sio chini ya bao mbili leo
Kuvua nguo ni adhabu?Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.
Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo. Tunaanza kuchukua kombe moja baada ya jingine. Na tumeanza na ngao ya jamii.
Ondoeni shaka. Tulimleta Zahera sababu hii pia. Amekuja na wataalamu toka Congo. Kifupi SIMBA HATOKI LEO. SIMBA ANAUMIA VIBAYA SANA.
SIMBA ASIPOFUNGWA LEO NAVUA NGUO. HILI NALIWEKA WAZI.
Huko Zanzibar kwenyewe hakuna hata timu yao moja ambayo imewahi kuvuka hatua ya awali ya CAF champions league halafu leo unataka kuwaaminisha watu kuwa Zanzibar ndio kuna dawa ya ushindi.Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.
Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo. Tunaanza kuchukua kombe moja baada ya jingine. Na tumeanza na ngao ya jamii.
Ondoeni shaka. Tulimleta Zahera sababu hii pia. Amekuja na wataalamu toka Congo. Kifupi SIMBA HATOKI LEO. SIMBA ANAUMIA VIBAYA SANA.
SIMBA ASIPOFUNGWA LEO NAVUA NGUO. HILI NALIWEKA WAZI.
Kwani huyu ni mwanaume? Mbona anamuandiko wakivulana vulana?