Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna mahala hakuna pa kupumzikaAlikuwa Mpigaji kama wapigaji wengine.. Apumzike huko alipo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahala hakuna pa kupumzikaAlikuwa Mpigaji kama wapigaji wengine.. Apumzike huko alipo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hamtabadilisha mwenye akili mtazamo,ninyi ni makarai tu wa mabeberu.Nia yenu ni kupaka kila aliye-mwema matope ili ionekane mna fanana naye.JPM angekuwa mpigaji asingechukia wapigaji.Angekuwa mpigaji asinge elekeza pesa kwenye miradi mikubwa.Angekuwa mpigaji angekuwa rafiki wa mabeberu.Mpigaji hana tabia za marehemu,mpigaji ana tabia za kipigaji.Ukiona Rais wenu anapendwa na mabeberu,anapenda mikopo ya mabeberu,hapendi nchi ijitegemee,ujue ni mpigaji.Kila mwenye akili analijua hili,na hamuwezi kulibadilisha.Awamu ya sita ni ya wapigaji!!!!!!!!!!!Katafute CAG ripoti 2020/2021 kama hutaelewa mtafute mtu akutafsirie... Hayati na ukali wake watu wametafuna pesa balaa. Na yeye kashiriki.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Acha yagombane yote ni majangiliHujui kama CAG anatumika? Mpaka stendi ya kisasa ya mbezi alisema haifai inaongeza foleni.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Hakuna ofisi inaongoza kwa rushwa kama ofisi ya CAGKwani huyo CAG ni malaika we mburula? Kwamba akisema yeye basi ndo ukweli ulivyo. Mara ngapi huyo CAG ameleta taarifa ambazo zilipofuatiliwa hazikua na uhalisia wowote. Nadhani ipo haja nafasi hii iangaliwe upya kikatiba maana sasa inatumika kisiasa.