Sasa Vita ya awamu ya Tano na Sita ni dhahiri

Katafute CAG ripoti 2020/2021 kama hutaelewa mtafute mtu akutafsirie... Hayati na ukali wake watu wametafuna pesa balaa. Na yeye kashiriki.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hamtabadilisha mwenye akili mtazamo,ninyi ni makarai tu wa mabeberu.Nia yenu ni kupaka kila aliye-mwema matope ili ionekane mna fanana naye.JPM angekuwa mpigaji asingechukia wapigaji.Angekuwa mpigaji asinge elekeza pesa kwenye miradi mikubwa.Angekuwa mpigaji angekuwa rafiki wa mabeberu.Mpigaji hana tabia za marehemu,mpigaji ana tabia za kipigaji.Ukiona Rais wenu anapendwa na mabeberu,anapenda mikopo ya mabeberu,hapendi nchi ijitegemee,ujue ni mpigaji.Kila mwenye akili analijua hili,na hamuwezi kulibadilisha.Awamu ya sita ni ya wapigaji!!!!!!!!!!!
 
Hakuna ofisi inaongoza kwa rushwa kama ofisi ya CAG
 
Hakuna ofisi inaongoza kwa rushwa kama ofisi ya CAG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…