Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

zamu ya nani leo? zamu ni ya kwenu . zamu yangu itafika kesho sijali baharia wenu
 
Daahh kuna mdada humu kila nikiona comment yake tuu napata tabasamu muruaa...akianzisha thread sasa daaahh
Kibaya hata hajui kuhusu hili na najua hawez hata nitaja[emoji27] [emoji27]
 
Back
Top Bottom