Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Uzi siupendi huu.....
Pole umekufanyaje mkuu..??? Make mie ndiyo niliuanzisha sikujua kama ulikuwa haupendi[emoji15] [emoji15] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji295] [emoji287] [emoji286] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka umepatwa..!
 
Wengine tuna gundu
Gundu ipi sasa kutopendwa na dadaz wa humu? Kama haujapendwa we shukru tu mkuu..! Pasua vichwa hawa makubeli tupu na mashangingi unaweza zima km unaroho nyepesi ukipenda goma la humu jf..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom