brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
KAFAHivi rubii alifutiwa ID??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAFAHivi rubii alifutiwa ID??
Na mimi nimo?Wengi sana huwa nawatamani kwa hiyo ningepata wakati mgumu sana
My upo mbona hujanitaja
Lini??KAFA
Hahahahaahhaahnitajeni basi
Mnafaa kwa matumizUzuri wetu ni sasa?
Subir nikutajenitajeni basi
Kuna watu mnajinyima morning glory kwa uzembe wenu!Niliemfikiria ameshatajwa!! bora nikae kimya!! imagine ametajwa tu na roho imeniuma lol.
Ha ha mie napendaga tu pozi la kwenye avatar yakoMi Invisible tu cc Nyani Ngabu
Pole umekufanyaje mkuu..??? Make mie ndiyo niliuanzisha sikujua kama ulikuwa haupendi[emoji15] [emoji15] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji295] [emoji287] [emoji286] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka umepatwa..!Uzi siupendi huu.....
Gundu ipi sasa kutopendwa na dadaz wa humu? Kama haujapendwa we shukru tu mkuu..! Pasua vichwa hawa makubeli tupu na mashangingi unaweza zima km unaroho nyepesi ukipenda goma la humu jf..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine tuna gundu
seriously!!