UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Well sayingMwisho mtachaguana mama na mtoto baba na binti babu na bibi na wajukuu. JF ni puzzle umri wa mtu ni siri ya mtu. Zoezi kama hili acha lipite. Kuna watoto wengi sana humu mwisho kujivunjia heshima bure.