Usijali tutatubu..Onyo!!mimi ni padre hivyo tuheshimiane!![emoji85]
Taja wa3Wengi sana huwa nawatamani kwa hiyo ningepata wakati mgumu sana
Sijui ninechelewa wapi kuuona huu Uzi...Kwa hiyo hapa ni mitongozo kwa kwenda mbele..........Valentina njoo huku uone!!
Usinitafutie ugomvi humu maana wote ni waume za watu.....Taja wa3
We taja tuUsinitafutie ugomvi humu maana wote ni waume za watu.....
Nyani Ngabu umedondokewa hukuNyani Ngabu. Akinicheat ntamuacha ntaolewa na The boss
Unanitafutia makubwa my wii mie sitakiWe taja tu
Nyani Ngabu umedondokewa huku
Zali lingine hili hapa Nyani Ngabuusa bayb
Dhambi ya uoga mbaya sana ujueUnanitafutia makubwa my wii mie sitaki
Sasa sio ulete ushamba wako wa kisukuma ukose totoz hizoZali la mentali hilo...