Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa sio ulete ushamba wako wa kisukuma ukose totoz hizo
Haaa kumbe na we ni mwana wa kaa harikaaKumbuka vizuri nilikupa utakuwa umesahau tu mtani....kumbuka vizuri.....
Haaa kumbe na we ni mwana wa kaa harikaa
He hee we penyeza nyavu jibu lako litajibika mbele ya safari eboo!Sasa wewe unataka kuniingiza mkenge...
Huyo ni mchuchu kweli?
Mwache bonge wetu akue kue kwanzaHivi bonge ye hataki Msukuma?
Bora dhambi ya uoga kuliko dhambi ya kutembea na mume wa mtu[emoji6]Dhambi ya uoga mbaya sana ujue
He heeee sawaaa tunegaya mtondoIyee mi ni mwana wa kaa.....gaya...!!??
He heeee sawaaa tunegaya mtondo
Tehena niho mwenye....Tehena mburi.....kio chedi....nkezije washe....
Fanya tu chaguo hujachelewa......hata mi hapa sijachaguliwa bado!!Sijui ninechelewa wapi kuuona huu Uzi...
Tehena niho mwenye....
Si mimi vile jina langu gumu sana anyway unaweza ukali copy na kulipaste tu.Naniiii... Kanitoka jina nikimkumbuka nitarudi[emoji124]