brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Yupo wapi??Hiyo ya rubii kufa ni KIKI hiyo yu hai hance mtanashati
Ngoja nifikirie[emoji189] [emoji189] kidogo alaf narudi kulipasteSi mimi vile jina langu gumu sana anyway unaweza ukali copy na kulipaste tu.
Kiranga mwenyewe anajua?Mie Kiranga wangu tu anantoshea
Nimekuona nafsi yangu imekua mujarabu.... Vile wajua kunikosha wallah najiona timilifuAsante mamito, mtoto mzuri mtoto mantashari, mtoto mujarab kwa barubaru liso ujamali Kiranga.
Ha haa Kafman hebu lala uko mida ya wakubwa hii tuache tuliwazaneKiranga mwenyewe anajua?
Siku Ngabu umemtosa ila na mi ntabaki tu nyuma kuusoma mkono mpaka udondoke kama alivyo fisi!!
Kipi hicho?Kuna kihali fulani cha ubaguzi humu jf.
Sisi wengine tumesahaulika kabisaKipi hicho?
Mtakumbukwa usikondeSisi wengine tumesahaulika kabisa
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Onyo!!mimi ni padre hivyo tuheshimiane!![emoji85]
Lini sasa ? wakati ndo huuMtakumbukwa usikonde
OK nitasubiri