Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Asante mamito, mtoto mzuri mtoto mantashari, mtoto mujarab kwa barubaru liso ujamali Kiranga.
Nimekuona nafsi yangu imekua mujarabu.... Vile wajua kunikosha wallah najiona timilifu
 
Mi mwenyewe cna mke..,muanzisha uzi umeniona eenh..???
 
Back
Top Bottom