Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

pole best ndo hivyo mtaje mwingine hahahahaaa
Tatizo sio kutaja, Tatizo ni kumtaja mtu kumbe yeye anakuchukua balaa ha ha ha ha ha ha ha ah unakuwa unamuweka kwenye hali ngumu lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…