Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Mwisho mtachaguana mama na mtoto baba na binti babu na bibi na wajukuu. JF ni puzzle umri wa mtu ni siri ya mtu. Zoezi kama hili acha lipite. Kuna watoto wengi sana humu mwisho kujivunjia heshima bure.
Its only for fun and nothing serious.Hakuna mtu anataka kujua umri wa mtu unless muende extra miles ila chitchat ni sehemu yakufurahi tu.
 
Huu Uzi hauna deadline enhee may be two years to.come na. Mm ntatajwa
 
Mwisho mtachaguana mama na mtoto baba na binti babu na bibi na wajukuu. JF ni puzzle umri wa mtu ni siri ya mtu. Zoezi kama hili acha lipite. Kuna watoto wengi sana humu mwisho kujivunjia heshima bure.

Itakuwa hivyo only, if you take em serious. Otherwise haitokuwa.
 
Hivi humu kampeni zinaruhusiwa.? Mtoa mada hebu weka masharti, maana naona watu wameanza kucheza rafu.

[emoji2]
 
Back
Top Bottom