Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Kazi kushney zoteHahahaaaa!! Jinunishe tu ila kazi zako ufanye tuu, habari za kujinuisha alafu na kazi hufanyi leo makwenzi yatakuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kushney zoteHahahaaaa!! Jinunishe tu ila kazi zako ufanye tuu, habari za kujinuisha alafu na kazi hufanyi leo makwenzi yatakuhusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ole wako uwe bibi bomba halafu nikuone kwa pm [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji109]
Oooh hapo sawa!! We jinunishe tu sasa kwa raha zakoKazi kushney zote
NitajieeeeeeeeOooh hapo sawa!! We jinunishe tu sasa kwa raha zako
Hahahaaaa!! Jamani si nshakutajia mwanangu?Nitajieeeeeeee
MtcheeeeewHahahaaaa!! Jamani si nshakutajia mwanangu?
Hakuna zaidi ya baba yako
We mwana weeeh! Hebu kuwa na adabu.Mtcheeeeew
Its only for fun and nothing serious.Hakuna mtu anataka kujua umri wa mtu unless muende extra miles ila chitchat ni sehemu yakufurahi tu.Mwisho mtachaguana mama na mtoto baba na binti babu na bibi na wajukuu. JF ni puzzle umri wa mtu ni siri ya mtu. Zoezi kama hili acha lipite. Kuna watoto wengi sana humu mwisho kujivunjia heshima bure.
It's only few of us know 'it's only for fun' not wote will read between the lines! Well, it was just an opinion nothing serious. It's for funIts only for fun and nothing serious.Hakuna mtu anataka kujua umri wa mtu unless muende extra miles ila chitchat ni sehemu yakufurahi tu.
Nitamtaja mumeo umbea ukutokee puaniEm ninong'oneze basi lol[emoji87] [emoji87]
Mwisho mtachaguana mama na mtoto baba na binti babu na bibi na wajukuu. JF ni puzzle umri wa mtu ni siri ya mtu. Zoezi kama hili acha lipite. Kuna watoto wengi sana humu mwisho kujivunjia heshima bure.