Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?

NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
Nilitaka kusema ila hayo maandishi ya herufi kubwa yamenitishamo
 
Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?

NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mimi nitamchagua pedeshee ndama toto ya ng'ombe "mooooo"
Anamahela.
 
Kwendraaa zako, huyo ulomuongelea hapo sio daddy hata. Nitajie buana, ntatunza siri kwa mzee
Hahahaaaaaa!! Hivi kuna siri ulowahi kuitunza kwa baba yako wewe!! Labda za baba yako unifiche mimi.
Ila kwa baba yako utajikuta tu umesema hata usipoulizwa.
 
Ndo Leo naanza kutunza lol, so niamini tu
 
Ole wako uwe bibi bomba halafu nikuone kwa pm [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji109]
 
Back
Top Bottom