Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji2] [emoji8] [emoji39] [emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji8] [emoji39] [emoji7]
Nilitaka kusema ila hayo maandishi ya herufi kubwa yamenitishamoSomo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?
NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mimi nitamchagua pedeshee ndama toto ya ng'ombe "mooooo"Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?
NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
Hahahaaaa!! Mbona ushajitaja sasa!Nitaje tu....
mtani wangu kikulachako halafu ile atm password yake ulishahu kunipaWewe miss chagga usiponitaja.....utakiona cha mtema kuni....
Kumbuka vizuri nilikupa utakuwa umesahau tu mtani....kumbuka vizuri.....mtani wangu kikulachako halafu ile atm password yake ulishahu kunipa
ngoja okey nimekumbuka umegeuza mwaka wako wa kuzaliwaKumbuka vizuri nilikupa utakuwa umesahau tu mtani....kumbuka vizuri.....
Mama ninong'oneze basi, sitosemaSijui nimtaje!! Yaani kila nikiona comment yake namjengea picha jinsi alivyo alafu natabasamu tu, wish ningefahamu tu hata alivyo maybe nafsi ingeridhika.
Em ninong'oneze basi lol[emoji87] [emoji87]Nilitaka kusema ila hayo maandishi ya herufi kubwa yamenitishamo
Kuna nani zaidi ya baba yako?Mama ninong'oneze basi, sitosema
Kwendraaa zako, huyo ulomuongelea hapo sio daddy hata. Nitajie buana, ntatunza siri kwa mzeeKuna nani zaidi ya baba yako?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaaaa!! Hivi kuna siri ulowahi kuitunza kwa baba yako wewe!! Labda za baba yako unifiche mimi.Kwendraaa zako, huyo ulomuongelea hapo sio daddy hata. Nitajie buana, ntatunza siri kwa mzee
Ndo Leo naanza kutunza lol, so niamini tuHahahaaaaaa!! Hivi kuna siri ulowahi kuitunza kwa baba yako wewe!! Labda za baba yako unifiche mimi.
Ila kwa baba yako utajikuta tu umesema hata usipoulizwa.
Aaah wapiiii!! We na baba yako tena.Ndo Leo naanza kutunza lol, so niamini tu
[emoji35] [emoji35] [emoji57] [emoji57]Aaah wapiiii!! We na baba yako tena.
Ni huyu huyo baba yako lol[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Unawatamani kwa kitu ganiWengi sana huwa nawatamani kwa hiyo ningepata wakati mgumu sana
Hahahaaaa!! Jinunishe tu ila kazi zako ufanye tuu, habari za kujinuisha alafu na kazi hufanyi leo makwenzi yatakuhusu.[emoji35] [emoji35] [emoji57] [emoji57]