Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Mwisho mtachaguana mama na mtoto baba na binti babu na bibi na wajukuu. JF ni puzzle umri wa mtu ni siri ya mtu. Zoezi kama hili acha lipite. Kuna watoto wengi sana humu mwisho kujivunjia heshima bure.
Well saying
 
Mijitu haionani ila inaongea halafu hapo hapo inataka kupendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…