Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio kwamba kuna mtu anawazuia ila kama kampuni haijatengeneza faida yoyote kwa investor itajitanua vipi which means kampuni kama kampuni inashindwa kujiendesha yenyewe, hapa Dar es Salaam penyewe network yao haipatikani sehemu zoteMkuu kwani kuna mtu kawazuia kujitanua?
Kampuni ambayo mmoja ya main shareholders ni Mchungaji Lwakatare lazima ife! yule mama mshirikina tu
alikushirikinia lini?au mwajuana kwa viremba?