Sasha achumbiwa na Mzungu

Sasha achumbiwa na Mzungu

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Video queen Sasha, anadai kuchumbiwa na mzungu ambaye ametajiwa mahari ya mil 40 na wazazi wake na amekubali kuitoa hivyo anatarajiwa kufunga ndoa mwakani mwezi wa tatu.

"Nashukuru nimepata mzungu naamini atanipenda kweli tofauti na wanaume wa kibongo si haba ana Pesa ndefu Kwani mahari aliyotajiwa bila ya kuwa na Pesa asingeweza " alisema Sasha.

IMG_20171112_103720_240.jpg
 
Back
Top Bottom