Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

Hili demu dau lake kubwa kumng'oa, Nilimtafuta sana nami nikafaidi matunda ya Allah, nilishindwa alipo niambia nimpeleke Kilimanjaro Hotel kwa breakfast kama siwezi nisimsumbue, niliishiwa pozi...

Ila huo mtungi hapo kifuani utafikiri ana tenda ya ku supply kuwanyonyesha watoto wa ISIS
 
Atanunuliwa lingine, mbona hazina anayo nayeye asitupigie kelele hapa. Zingine kick tu ili wanunuaji wajue yupo kama wengine.
 
Na yule alievamia uwanja kumkumbatia Rooney nae ni celebrate? Karibuni kila mbongo atakuwa celebrate.
 
Kama unakaa mjini kutegemea Pesa za mwanaume tena wa mjini jua wewe ni chombo cha starehe tu ila usitegemee kutajirika kwa pesa za kuhongwa., akome sasa, atafute mpuuzi mwingine wa kumganda.
 
Back
Top Bottom