Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

VIDEO Queen Sasha Kasim ‘Kim Sasha ’ hivi karibuni amedaiwa kutapeliwa pesa za gari na mpenzi wake (jina linahifadhiwa) ambaye ni mume wa mtu kitendo kilichomsababisha adate na kukimbilia Zanzibar ambapo ameenda kupumzisha mawazo.

Sosi wa habari hii aliye karibu na Sasha alidai kuwa Sasha na mwanaume huyo wamekuwa wapenzi kwa mwaka mmoja na walikuwa wameahidiana mambo makubwa ya kimaendeleo lakini mwanaume huyo amekuwa tapeli kwani hivi karibuni Sasha alinunua gari akalichukua yeye.

“Huwezi kuamini alimshauri waliuze alafu atamnunulia lingine, gari hilo lilikuwa ni ractis akamshawishi wauze kisha atamnunulia Mark X ambalo mpaka sasa hajalinunua na pesa ameingia nazo mitini kamuacha Sasha akiwa analia,” alisema Sosi.

Baada ya sosi kuanika hayo Sasha aliendewa hewani na kukiri kutapeliwa na bwana huyo ambapo mpaka sasa hajamnunulia gari lingine na hata hajulikani yuko wapi.

“Namstahi kwa sababu ni mume wa mtu lakini asipotokea nitamfanyia mbaya kwa kumuanika kwani amenisababishia stress mbaya na amenifanya nisiingie kwenye mahusiano na mtu mwingine yeyote kwani simwamini tena kiukweli,” alisema Sasha.

View attachment 614319 View attachment 614320

Me nitampataje huyu nimpe RAV4 azugie mjini wakati anamtafuta huyo aliemtaperi, ,,Mtoto mzuri kama huyo haifai kutembea kwa daladala
 
Hili demu dau lake kubwa kumng'oa, Nilimtafuta sana nami nikafaidi matunda ya Allah, nilishindwa alipo niambia nimpeleke Kilimanjaro Hotel kwa breakfast kama siwezi nisimsumbue, niliishiwa pozi...

Ila huo mtungi hapo kifuani utafikiri ana tenda ya ku supply kuwanyonyesha watoto wa ISIS
Asa mzee baba breakfast inaweza kuzidi laki kweli?,ungempeleka tu.
 
Binti kiziwi nimekusoma.nawe ni msingida,inabidi tutafutane hata kwa tochi
 
Kadhulumiwa mpaka hela ya kununua sidiria ya kumtosha hana.
 
Aisee yaani kujiuza kote huko gari lenyewe Ractis??
 
Yaani huyo mssenge ana mipango ya maendeleo na mme wa mtu?
 
Back
Top Bottom