TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Very soon itanunuliwaSatelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi kuitofautisha na genge la wahuni,lakini serikali inajinadi kukuza uchumi,ni uchumi gani unajitenga na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
No, CommentsSatelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi kuitofautisha na genge la wahuni,lakini serikali inajinadi kukuza uchumi,ni uchumi gani unajitenga na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
Hoja yangu sio kununua,inanunuliwa kwa shughuri ipi?shughuri ni gni keny imeirusha?Very soon itanunuliwa
Ushuzi gwa Nyokooosatelaiti ya ushuzi
hapa kwenu ugali sio anasa?Iko hewani wakati ugali kwa wakenya wengi ni anasa? Wanashindwa kuwalipa mshahara watumishi halafu wanapeleka satellite.
Wivu tuIko hewani wakati ugali kwa wakenya wengi ni anasa? Wanashindwa kuwalipa mshahara watumishi halafu wanapeleka satellite.