TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi kuitofautisha na genge la wahuni,lakini serikali inajinadi kukuza uchumi,ni uchumi gani unajitenga na ukuaji wa sayansi na teknolojia?