Satelaiti ya Kenya on air

Satelaiti ya Kenya on air

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi kuitofautisha na genge la wahuni,lakini serikali inajinadi kukuza uchumi,ni uchumi gani unajitenga na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
 
Iko hewani wakati ugali kwa wakenya wengi ni anasa? Wanashindwa kuwalipa mshahara watumishi halafu wanapeleka satellite.
 
Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi kuitofautisha na genge la wahuni,lakini serikali inajinadi kukuza uchumi,ni uchumi gani unajitenga na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
Very soon itanunuliwa
 
No, Comments
 
Back
Top Bottom