Sativa ashauriwe apunguze kuwadhihaki Polisi

Ngoma ikilia sana hupasuka
 
haya ndo madhara ya KULINDANA.watu wanatekwa wanauliwa hakuna chochote kinachofanyika.ndo maana wanaamua kama mbwai na iwe mbwai.tusimlaumu sativa
 
Haijakaa vizuri kutweza utu wa walinzi wetu wa rasilimali na Raia kwani ni vibaya mtu kupumzika na uenda hizo picha zilipigwa baada ya kumaliza shift.
Uhuru usiyokuwa na mipaka ndiyo huu sasa ajitahmini kwani siasi si uadui.
TUJENGE TANZANIA YETU NA KAMA NI KUKOSOA JAMBO BASI IWE KWA STAHA .
 
I agree, Jeshi la polisi ni nguzo muhimu kwenye jamii na ustawi wetu. Kuna matatizo kibao na mengi askari wanaya solve kizalendo na kwa upendo. Kwanini anaidharau kisa watu wachache waliomkera?yeye anajiona nani kisa ana account twitter? Anajua watu wapo polisi kwa njaa? Hivi ukiamua kuitumikia jamii yako kwa kua polisi una kosa gani? Polisi duniani kote wapo na ni kazi ya kutoka karne hizo.
 
Huyu jamaa asipodhibitiwa anaweza akatumika kuleta conflict kisa ana account twitter. Polisi wanazingua sana ila usije ukaaminisha jamii yako kua polisi sio muhimu wakati hawa jamaa wanaitumikia jamii yao kizalendo.
 
Umekisoma ulichoandika? Walinzi Gani wanaotuhumiwa kuteka watu ?

Nani kakamatwa kuhusu tukio lake? Acheni ushabiki police wamebakiza kazi Moja tu kuirinda ccm
 
Waambie polisi waache dhihaka kwa Watanzania.

Sativa ameongea yote kuhusu jaribio lake la kuuawa na polisi.

Mnampuuza malalamiko yake, namuunga mkono awaseme mpaka muone haya
📌📌
 
Mkuu nikweli kwa muktadha wa nidhamu. Adabu na kulinda hadhi vya vyombo vyetu.

Lakini jambo moja unalopaswa mujua Sativa alishakufa. Hayupo tena.

Anahitaji Mental Health Specialist kumrudishia uhai na utu. Ni sawa na kichaa ukikutana yukp uchi unamcheka? Au kichaa akikupiga kofi unamshtaki mahakamani au unakimbia na kuachana naye?
 
Kwa kifupi Sativa akipewa Bomu akajilipue pale Osterbay aue askari wote kwa kujitoa mhanga anafanya. Yafaaa asikilizwe apewe tiba ya saikolojia ili apate faraja na kurudia hali yake. Endeleeni kupuuza tu
 
Nadhani serikali ichukue hatua ya kumpa ushauri kupitia wataalamu wa saikolojia.. itamsaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…