Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ngoma ikilia sana hupasukaNaombeni niweke wazi, mimi sio askari wala siko upande wao!!
Najua maumivu anayoyapitia Edgar Mwalebela ( Sativa ) baada ya kutekwa na kunusurika kuuwawa mwaka huu.
Sasa jamaa yetu amekuwa akishambulia askari yoyote kwa lugha ngumu na kali.
Naomba ashauriwe apunguze kufanya hivyo, achague mbinu ya kudili na adui kimyakimya. Hii mbinu ya sasa inachafua taswira yake.View attachment 3152394View attachment 3152395View attachment 3152396