mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,740
- 11,976
Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X:
Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI.
Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na hatia mikononi mwao ndiomaana kila siku MUNGU anayaumbua kukosa kwao akili.
HII NCHI YETU SOTE HAYUPO MWENYE HATI MILIKI. NA WOTE NI WAPITAJI CHINI YA JUA, HIZI DAMU MNAZOMWAGA MTALIPA.
Hao walioua huyo kijana ni VIONGOZI wa serikali. Lazima muiweke vizuri.
Kila mwenye akili timamu lazima aunge mkono #NoReformsNoElection kwaajili ya kesho yake bora na vizazi vyake. Kinyume na hapo wewe ni mnufaika ya UMWAGAJI DAMU unaoendelea kwenye nchi.