Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 742
- 677
Tanzania siku hizi kunamambo ya kusikitisha sana
6 feet down with no future aheadHuyo kijana alikufa?
Huyu Sativa alivyoeleza madhira aliyopitia na 'sentencing' aliyopewa wapumbavu wengi tuliamini anatafuta kiki na hata kuhitimisha kuwa ni 'vijidrama'. Kabla na baada ya hapo yameshatokea matukio mengine mengi lakini hayatuamshi ukilinganisha na simba/yanga! Kwa maana hiyo hapa tunapata 'just a taste' ya wanayopitia hawa watu kabla ya kupotea. NOTE: Haya yanatokea kwenye ncchi ya UPENDO NA AMANI aliyoiacha Mwalimu.
Sasa huyu kijana imethibitika kuwa sio yeye aliyeiba na zaidi kabisa sio mpinzani wala cdm kielelezo kwamba hili suala linaweza kumkuta yeyote as long as tayari kwenye jamii yetu kuna sheria lakini hazifuatwi bali wameibuka wauaji kwa jina la wasiojulikana.