Wako bize kuchukua form!Kama Taifa tumefika pabaya sana. Na mbaya zaidi hakuja anayejali.
Unaweza Kuta ni watu wanaoamini nguvu za Giza ili mambo Yao yaende!Haya matukio lazima yawepo nyakati kama hizi karibia na uchaguzi 🙂↔️
Cheza kwa usalama usije kuwa mtu wa mfano .
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE 😎
Hii video nimeiona Kwa Mshana Jr je huyo kijana alikufa?Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X:
Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI.
Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na hatia mikononi mwao ndiomaana kila siku MUNGU anayaumbua kukosa kwao akili.
HII NCHI YETU SOTE HAYUPO MWENYE HATI MILIKI. NA WOTE NI WAPITAJI CHINI YA JUA, HIZI DAMU MNAZOMWAGA MTALIPA.
View attachment 3393454
Hao walioua huyo kijana ni VIONGOZI wa serikali. Lazima muiweke vizuri.
Kila mwenye akili timamu lazima aunge mkono #NoReformsNoElection kwaajili ya kesho yake bora na vizazi vyake. Kinyume na hapo wewe ni mnufaika ya UMWAGAJI DAMU unaoendelea kwenye nchi.
SATIVA ACHA UCHIZI WAKO KILA KITU KIMEELEZWA HUONI KWANI KUWA KIONGOZI WA SERIKALI NA KUFANYA MAKOSA NI VITU VIWILI TOFAUTI HIVYO NI WAHALIFU KAMA WALIVYO WENGINE USIILAUMU SERIKALI HAO NI WAHALIFU TU HAIWEZI KUIFANYA SERIKALI YOTE IONEKANE MBAYA KUWA NA AKILI BASIAnaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X:
Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI.
Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na hatia mikononi mwao ndiomaana kila siku MUNGU anayaumbua kukosa kwao akili.
HII NCHI YETU SOTE HAYUPO MWENYE HATI MILIKI. NA WOTE NI WAPITAJI CHINI YA JUA, HIZI DAMU MNAZOMWAGA MTALIPA.
View attachment 3393454
Hao walioua huyo kijana ni VIONGOZI wa serikali. Lazima muiweke vizuri.
Kila mwenye akili timamu lazima aunge mkono #NoReformsNoElection kwaajili ya kesho yake bora na vizazi vyake. Kinyume na hapo wewe ni mnufaika ya UMWAGAJI DAMU unaoendelea kwenye nchi.
Dunia imeisha hii ndugu 😂Unaweza Kuta ni watu wanaoamini nguvu za Giza ili mambo Yao yaende!
Kwa kweli Mungu atunusuru!Dunia imeisha hii ndugu 😂
Chizi anawezaje kupambana mambo? Hoja umeieleza vizuri hapo kwenye chizi,umeharibu!SATIVA ACHA UCHIZI WAKO KILA KITU KIMEELEZWA HUONI KWANI KUWA KIONGOZI WA SERIKALI NA KUFANYA MAKOSA NI VITU VIWILI TOFAUTI HIVYO NI WAHALIFU KAMA WALIVYO WENGINE USIILAUMU SERIKALI HAO NI WAHALIFU TU HAIWEZI KUIFANYA SERIKALI YOTE IONEKANE MBAYA KUWA NA AKILI BASI