Sativa: Bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote?

Hii Nchi hii, watuhumiwa watakuja kuachiwa tu....ila hiyo damu itakuwa juu yao.
 
Mwambieni Satiboy aniblokue kule X niendelee kumpiga spana
 
Vipi wanaorekodi na kushuhudia?
Wewe ungekuwa hapo ungefanya nini?
Tumetengenezwa kuwa watu wa KULALAMIKA tu na hatua achukue mwingine.
 
Mama Yao kaiharibu Nchi.Hadi watu walalamike ndiyo waharifu waanze kutafutwa.Huyu mama Yao hatufai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…