Sativa: Familia nyingi zinalia Tanzania hakuna haki

Sativa: Familia nyingi zinalia Tanzania hakuna haki

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Edgar Mwakabela maarufu Sativa anadai kutekwa Juni 2024 nchini Tanzania, baada ya kile alichodai kuwa kuikosoa serikali kuhusu masuala ya kikodi na kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara uliolenga kudai haki.

Sativa anadai kuwa aliteswa kisha kutelekezwa kwenye msitu baada ya kupigwa risasi.
Watetezi wa haki wameeleza kuwa wanaharakati na wanasiasa wa upinzani wanapotea, wengi wao hawarudi tena na iwapo watapatikana watakuwa na simulizi za kutisha.

Serikali ya Tanzania imekanusha kuhusika na matukio ya watu kupotea.

BBC ilituma maombi ya mahojiano na polisi lakini haikujibiwa.

Chanzo: BBC​
 
Mzee wa Msoga ni muhuni zaidi ya wadudu wa Arusha,hizi ndio agenda zao
 
Back
Top Bottom