Sativa, kitendo cha kujitosa katika uchaguzi wa Chadema kipindi hiki ukiwa unapigania haki yako ya kutekwa, si sawa

Kila mtu anahaki kupenda anachotaka
Wazungu wamesema
Everyone has the right to love what they want.
Lkn kitendo cha kujitosa mzima mzima tena kwa nguvu sana ktk uchaguzi wa chadema kipindi hichi ukiwa unapigania haki yako ya kutekwa sio kitendo kilicho sawa.
1. Utapoteza mwelekeo wako kabisa na utakosa nguvu ya support kutoka kwa chadema na wanaharakati wengine ambao hapo mwanzo walikuwa wakipaza sauti.
2. Hivi sasa ktk social media unavita vya aina 3, Ccm, chadema na invisible.
Baada ya uchaguzi wa chadema ambao wazi kabisa Lissu anaangushwa ktk uchaguzi huu ni wazi na weye mwelekeo katika kudai haki yao nguvu itapotea kabisa , Lissu atakukipimbia kabisa.
USHAURI.
HUJACHELEWA, KAA KANDO KTK VITA HIVI VYA UCHAGUZI, ILI SUPPORT KWA
Karibu nyama ya Nguruwe...ya leo imenona sana
 
Kijana bado mdogo..
Police- Matusi ya nguoni
CCM-Matusi
Mbowe- Matusi
Yeye wa maana kwake ni
Maria , Kubeti, Lissu..

Time.
Kusema ukweli,namjua hata kabla ya kutekwa,jamaa kule X,hana adabu kabisa........ni kweli si jambo jema alilofanyiwa ila hakuna mtu yeyote mwenye mamlaka anaweza kuvumilia dhihaka,matusi na kuharibu personality ya mtu.......Mafwele mpaka namba ya mwanaye anayesoma Sauzi waliipata na wakawa wanamtusi.......hii dunia ni ndogo sana kuwa uhamishoni haimaanishi kwamba uko salama
 
Karibu nyama ya Nguruwe...ya leo imenona sana
Qur'an 2:173:
"Mmeharimishiwa mizoga, damu, nyama ya nguruwe, na kile kilichotolewa dhabihu kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini atakayefikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita kiasi, hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."

Aya hii inaonyesha kuwa sheria ya kula kilichoharamishwa inaweza kulegezwa ikiwa hali ya dharura inalazimisha, lakini ni kwa lengo la kuokoa maisha na si zaidi ya hapo.

SIJAFIKIA HALI YA NJAA YA KUFA
 
Mkuu usiwe mwepesi wa kutolewa kwenye mada na watu wapuuzi,wala usingemjibu huyo.
 
Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako.. WEWE unavyopinga ukristo, yesu kristo pamoja na wakristo huoni kama na wewe unavita 3 tayari hapo.... Hauoni huyu Muhammad wako atakukataa siku ya mwisho atakapokua anapokea kipigo
 
Kila mtu anahaki kupenda anachotaka. Wazungu wamesema
Everyone has the right to love what they want.

Lkn kitendo cha kujitosa mzima mzima tena kwa nguvu sana ktk uchaguzi wa chadema kipindi hichi ukiwa unapigania haki yako ya kutekwa sio kitendo kilicho sawa.

1. Utapoteza mwelekeo wako kabisa na utakosa nguvu ya support kutoka kwa chadema na wanaharakati wengine ambao hapo mwanzo walikuwa wakipaza sauti.

2. Hivi sasa ktk social media unavita vya aina 3, Ccm, chadema na invisible.

Baada ya uchaguzi wa chadema ambao wazi kabisa Lissu anaangushwa ktk uchaguzi huu ni wazi na weye mwelekeo katika kudai haki yao nguvu itapotea kabisa , Lissu atakukipimbia kabisa.
USHAURI.

HUJACHELEWA, KAA KANDO KTK VITA HIVI VYA UCHAGUZI, ILI SUPPORT KWA
Hakuna mkate mgumu kwenye chai.........
 
Hiyo ni mental case
 
Back
Top Bottom